• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

WAJUMBE WA MABARAZA YA KATA WAPIGWA MSASA NAMNA BORA YA KUENDESHA MABARAZA KATIKA KATA ZAO

Posted on: May 6th, 2021

Mafunzo hayo yametolewa  tarehe 6 mei 2021 katika ukumbi mikutano  wa Manispaa ya Ubungo  uliopo luguruni  yakiwa na lengo la kuwaelimisha wajumbe namna ya kuendesha mabaraza katika kata zao wakizingatia sheria na kanuni ambazo zitasaidia katika uendeshaji wa mashauri na utoaji wa hukumu

Wakati wa  mafunzo hayo Mwezeshaji Demetria Kabera ambaye pia ni mwanasheria wa Manispaa ya ubungo aliwasomea wajumbe  muundo ambao unastahili kutumika na akidi ya wajumbe kutimia kwa kuzingatia sheria namba 7 ya mwaka 1985 sura ya 206  inayotaka wajumbe wa baraza hilo wasipungue wa 4 na wasiozidi 8 ili kutekeleza shughuli za baraza kwa ufanisi

Aliendelea kwa kusema kuwa dhumuni la mabaraza hayo katika kila kata ni kuleta amani na usuluhisho wa matatizo  kwa wanachi ambao mnawahudumia.

Nae mwezeshaji kutoka ofisi ya mwekahazina  wa Manispaa ya ubungo  Esau Hosiana aliwapiga msasa wajumbe katika swala zima la  tozo za ukusanya wa mapato ambazo mabaraza ya kata yanahusika ilikukusanya mapato ya serikali

Aliendelea kwa kusema kuwa  "ni vyema tozo ambazo zinatakiwa kukusanywa zijulikane na tozo hizo lazima ziwe katka muhtasari ambao utawaongoza wajumbe" alisisitiza MwekahazinaSambamba na hayo hakimu mfawidhi wa mahakama ya mwanzo  kimara Ndg. Furutuni Hamisi Aliwataka wajumbe kufuata taratibu na kuzingatia mashauri yenye haki kwa wananchi wao wanapotatua migogoro na bila kupendelea kwa kutoa haki kwa kila mtu

NB.mafunzo hayo yatafanyika siku mbili, leo jimbo la ubungo na kesho wajumbe wa jimbo la kibamba








Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.