• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

WAKANDARASI WAONYWA UCHELESHAJI WA MIRADI

Posted on: January 12th, 2024

Wakandarasi waliopata kazi ya kujenga  miradi  mbalimbali ya maendeleo katika Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo wametakiwa kuongeza kasi ya utekelezaji wa  miradi hiyo ili wananchi wafurahie matunda ya kodi zao kwa wakati

Hayo yamezungumzwa na wajumbe wa Kamati ya Fedha na Uongozi ya manispaa hiyo wakati wa ziara ya kukagua miradi ya maendeleo iliyotekelezwa katika kipindi cha robo ya pili kuanzia mwezi oktoba hadi disemba 2023 na kusema kuwa  baadhi ya miradi kasi  ya utekelezaji ni ndogo jambo ambalo halina afya kwa Serikali

.

Akiongea wakati wa ziara hiyo, Naibu Meya wa Manispaa  ya Ubungo Mhe Yusuph Yenga amesema kuwa pamoja na kwamba miradi hiyo inatekelezwa kwa ubora unaotakiwa lakini amesisitiza wakandarasi hao wanaojenga miradi ya maendeleo akiwemo mkandarasi anayejenga fremu za maduka ya kisasa katika soko la manzese kuongeza kasi ya ujenzi wa mradi huo kulingana na mkataba.

 Mhe. Yenga ameeleza kuwa " Mfano Mradi huu wa ujenzi wa Fremu za maduka katika soko la Manzese ambao kwa mujibu wa Mkataba unapaswa kukamilika mwezi februari, hatua ya ujenzi bado ipo asilimia za 50 hali ambayo inaonesha kuwa sio rahisi Mkandarasi huyu kumaliza Mradi huu kwa wakati"

Ni vema Wakandarasi wanaopata tenda za kujenga miradi ya Serikali wakatambua umuhimu wa kukamilisha  miradi  hiyo kwa wakati kwani lengo la Serikali ni kuboresha utoaji huduma kwa wananchi wake katika sekta mbalimbali, hivyo mhimu  wakandarasi  kuhakikisha wanakwenda na kasi ya serikali katika utekelezaji wa miradi hiyo.

" Wekeni mafundi wa kutosha wafanye kazi usiku na mchana ili kukamilisha miradi kwa wakati, na wakandarasi wanaochelewesha kukamilisha miradi kwa wakati tutavunja mikataba yao ili wapewe wakandarasi wenye uwezo.

Kamati ya Fedha na Uongozi imefanikiwa kutembelea miradi yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 2.5 ikijumuisha Mradi wa ghorofa Hospitali ya Sinza uliogharimu shilingi milioni 663, ujenzi wa Fremu za maduka ya kisasa katika soko la Manzese bilionib1.3 na uboreshaji wa soko la mabibo shilingi milioni 600.

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • "BAMBOO DAY" UBUNGO KWA KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA MAGODA BAMBOO YAADHIMISHA SIKU YA UPANDAJI NYASI ZA MIANZI DUNIANI

    September 18, 2025
  • TBS WAKABIDHI VITAMBULISHO 20 KWA MAAFISA AFYA WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO

    September 18, 2025
  • RAS MHITE ATEMBELEA UBUNGO, ASISITIZA UKUSANYAJI WA MAPATO

    September 12, 2025
  • MIAKA MINNE YA MAFANIKIO: UTELEKELEZA WA MIRADI YA MAENDELEO KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO CHINI YA UONGOZI WA RAIS SAMIA

    September 02, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.