• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

WAKUU WA IDARA NA VITENGO UBUNGO WAPEWA ELIMU YA MASUALA YA AFYA YA AKILI.

Posted on: August 21st, 2023

“Unywaji wa pombe kupita kiasi, msongo wa mawazo na uvutaji wa sigara ni moja kati visababishi vya matatizo ya afya ya akili kwa watu wengi” 

Kauli hiyo imetolewa tarehe 21/08/2023 na mtaalamu wa masuala ya afya ya akili Dkt. Isaac Lema alipokuwa akielezea masuala hayo kwa wakuu wa Idara na Vitengo Manispaa ya Ubungo lengo ikiwa ni kuwapa uelewa juu ya athari na namna ya kusaidia changamoto za afya akili sehemu za kazi.

Lema ameendelea kueleza kuwa pombe ina kiwango maalamu cha mtu kunywa na kikizidi kiwango hicho basi ni rahisi kumpelekea mtumiaji kupata tatizo la afya ya akili kutokana na uraibu wa unywaji wa pombe hizo.

Akifafanua Lema ameeleza kwa wanywaji wa pombe kwa upande wa wanawake hawatakiwi kuzidisha chupa 2 za pombe kwa siku na zisizidi chupa 10 kwa wiki, na wanaume wasinywe pombe zaidi 3 kwa siku na zisizidi 15 kwa wiki huku wakizingatia namba ya kiwango cha kilevi cha pombe husika pamoja na mapumziko ya siku mbili kila wiki bila kunywa pombe huku wajawazito wakizuiliwa kunywa pombe hizo.

Aidha, Lema ameendelea kueleza kuwa madhara ya matatizo ya afya ya akili yanaathari mbaya sana kwa Taifa na mara nyingi hupelekea mwenye tatizo hilo kupoteza maisha hivyo ni jukumu la kila mmoja kuelimisha jamii juu ya masuala ya afya ya akili.

Kwa upande wake Mganga Mkuu wa Manispaa hiyo Dkt. Tulitweni Mwinuka amempongeza Mtaalamu huyo kwa elimu hiyo muhimu aliyoitoa ambayokwa kiasi kikubwa itawezesha watumishi wa Manispaa hiyo kupata msaada juu ya masuala ya afya ya akili na ameeleza kuwa Idara ya afya kwa kushirikiana na wadau mbalimbali itahakikisha wananchi wa Manispaa hiyo wanapata elimu hiyo yenye tija na manufaa kwa Taifa.


Sambamba na hilo Dkt. Mwinuka ametoa wito kwa wataalamu waliopata elimu hiyo kuwa mabalozi wakuhakikisha matatizo ya afya ya akili hayatokei na yanazuiliwa sehemu za kazi.

















Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.