• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

WALIMU WA SHULE ZA MSINGI UBUNGO WAPEWA MAFUNZO ELEKEZI YA MTAALA ULIOBORESHWA

Posted on: January 16th, 2024

Ikiwa ni mwendelezo wa Mafunzo elekezi kuhusu Mtaala ulioboreshwa mashuleni, Walimu wa  Shule za msingi Manispaa ya Ubungo wamepatiwa mafunzo hayo lengo likiwa ni kuwapitisha  na kuwawezesha  walimu kutambua maboresho yaliyofanyika katika Mtaala na kuwawezesha kwenda kutekeleza shuleni.

Mafunzo hayo yametolewa kwa walimu wa Kata zote 14  zilizopo katika Manispaa hiyo  na utekelezaji wa mafunzo hayo unaanza na darasa la awali, darasa la kwanza na darasa  la tatu

Akizungumza na walimu wanaopatiwa mafunzo hayo, Afisa Elimu Msingi Manispaa ya Ubungo Dennis Nyoni amesema kuwa, mafunzo hayo endelevu ya walimu kazini (MEWAKA) yana dhumuni la kuhakikisha wanapata elimu kuhusu mabadiliko yoyote yanayotokea katika  mwongozo mpya wa elimu ulioboreshwa ili kila mmoja akatekeleze majukumu yake kwa weledi


Niwaombe mkazingatie kuwafundisha wanafunzi waweze kukuza ujuzi zaidi katika mambo mbalimbali ili waweze kujitegemea na kumudu mazingira yao kwa ujumla. Alisisitiza Nyoni


Nyoni, ameendelea kuwasisitiza walimu hao kuhakikisha kila mmoja anazingatie mafunzo hayo na kila mmoja kuzingatia kuwa ana jukumu la kuwalea watoto wakiwa mashuleni kwa kuwalinda na kuhakikisha wanapewa elimu na wanakuwa kiakili.

Akitoa shukrani kwa niaba ya walimu wenzie,  Davis Mbachao ameomba mafunzo yaendelee kutolewa mara kwa mara ilikukuza uwezo wa ufundishaji  na kuwaongezea ujuzi zaidi.















Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.