• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

WALIMU WAKUBORA NGAZI YA SHULE WANOLEWA KUTUMIA MFUMO WA KIDIJITI WA UTHIBITI UBORA WA SHULE.

Posted on: July 22nd, 2025


Wakuu wa shule na wathibiti ubora ngazi ya shule halmashauri ya manispaa ya Ubungo wameatiwa mafunzo ya kutumia mfumo wa kidijiti wa uthibiti ubora wa shule (School Quality Assurance System - SQAS) ili kuwawezesha kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi mkubwa.

Akifungua mafunzo hayo ya siku tatu yaliyohusisha washiriki zaidi ya 300, Afisa Elimu Mkoa wa Dar es salaam Mwl. Gift Kyando, amesema mfumo huo utarahisisha utendaji kazi na upatikanaji wa taarifa sahihi na kwa wakati.

Aidha amesema ubora wa elimu ni msingi wa maendeleo ya taifa, akisisitiza kuwa serikali imeanzisha mfumo huu ili kuongeza ufanisi, uwazi, uwajibikaji na kuimarisha ukusanyaji, uchambuzi, na utoaji wa mrejesho wa tathmini za shule kwa wizara na wadau wa elimu ambapo pia Mfumo huu utawezesha utunzaji na uchakataji wa taarifa kwa urahisi na kwa wakati.

Ofisa Mthibiti Ubora Mkuu wa Shule, Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Mwl. Margareth Kihiyo amesema kuwa mfumo huu utasaidia kuboresha utendaji wa kazi zao kwa kupunguza matumizi ya fomu za karatasi, ambazo zilihitajika kujazwa kuanzia ngazi ya shule hadi wilaya ili kufanya tathmini ya shule.

“Hapo awali, mfumo huo ulikuwa na changamoto katika kuchakata takwimu kwa ujumla, lakini sasa taarifa zote zitakuwa zinapatikana moja kwa moja kwenye mfumo, hivyo kurahisisha tathmini na kuhakikisha ubora wa shule unaimarika” amesema Mw. Kihiyo

Ameeleza kuwa mafunzo hayo ni muhimu na yanapaswa kutekelezwa kwa ufanisi ili kufikia malengo yaliyokusudiwa kwa mafanikio makubwa.

Mfumo huu wa kidijiti ulijengwa baada ya kufanya mazungumzo na wathibiti ubora wa shule ili kuelewa namna wanavyotekeleza majukumu yao ambapo sasa unatarajiwa kuleta mapinduzi makubwa katika uthibiti ubora wa shule, kuhakikisha taarifa zinapatikana kwa haraka na kusaidia katika kufanya maamuzi sahihi kwa maendeleo ya elimu nchini.

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO (MACHINGA) WAPEWA ELIMU UMUHIMU WA KITAMBULISHO CHA MJASIRIAMALI

    August 13, 2025
  • BANDA LA UBUUNGO LAFURIKA, MAONESHO YA NANE NANE - MOROGORO

    August 08, 2025
  • MHE.MALIMA KATIKA BANDA LA UBUNGO MAONESHO NANENANE

    August 06, 2025
  • UBUNGO YAADHIMISHA WIKI YA UNYONYESHAJI MAZIWA YA MAMA DUNIANI, ZAHANATI YA GOBA

    August 05, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.