• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

WAMILIKI WA HOTEL WAIPA HEKO IDARA YA MAZINGIRA KWENYE MIPANGO YA UTATUZI WA CHANGAMOTO YA MAJI TAKA

Posted on: August 23rd, 2023

Katika muendelezo wa mikakati ya kampeni ya "Kataa Uchafu, Safisha Pendezesha Ubungo"  Agosti 23, 2023 idara ya mazingira na udhibiti wa taka Ngumu Manispaa ya Ubungo imefanya kikao na wadau wa mazingira kutoka kata ya Sinza, Ubungo na Manzese ili kujadili changamoto mbalimbali za taka ngumu zinazokabili kata hizo na njia bora ya kukabiliana nazo

Wadau walioshiriki kikao hicho ni pamoja na wamiliki wa hoteli na kumbi za starehe ambao hao ndo wadau wakuu wanaozalisha kwa wingi taka ngumu na kutiririsha maji taka kutoka katika maeneo yao ya biashara. Pamoja na wadau hao pia katika kikao hicho walialikwa viongozi wa DAWASA ambao ndio taasisi yenye wajibu wa kukabiliana na maji taka

Akiongea katika kikao hicho afisa tarafa ya Ubungo Ndg. Agnes Kyando ambaye alimuwakilisha mkuu wa wilaya ya Ubungo amesema kuwa wamiliki wa hoteli na kumbi za starehe ni wadau muhimu kuelekea kwenye kampeni ya "Kataa Uchafu, Safisha Pendezesha Ubungo" ambayo inatarajiwa kuzinduliwa Jumamosi ya Agosti 26, 2023 katika kata ya Manzese eneo la Bakhresa, hivyo wajitokeze kwa wingi ili kufanikisha kampeni hiyo

Akiongea katika kikao hicho mkuu wa idara ya Mazingira na udhibiti wa taka ngumu Manispaa ya Ubungo Lawi Benard ametumia kikao hicho kutengeneza uelewa wa pamoja wa changamoto za majitaka  katika maeneo hayo ili kwa pamoja kutafuta suluhu ya kudumu

Kwa upande wa wamiliki, kwanza wameiongeza Manispaa ya Ubungo kwa kufanikisha kikao hicho ambacho wamekiri kuwa ni kikao chenye tija kubwa kwao kwa kuzingatia kuwa biashara zao zimekuwa zikikabiliwa na tatizo la maji taka kwa muda mrefu sasa

Aidha wameuomba uongozi wa DAWASA kuhakikisha wanakuja na majawabu ya kudumu kwa changamoto hiyo ikiwemo kuwa na bomba kubwa la maji taka ili kukabiliana na kero ya majitaka kwa njia ya kisasa zaidi


Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.