• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

WANANCHI WATAKIWA KUACHA KUVAMIA MAENEO

Posted on: November 3rd, 2021

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na maendeleo ya Makazi Mheshimiwa Angelina Manila amewataka Wananchi kuacha kuvamia na kujenga nyumba kwenye mashamba  au maeneo wasiomiliki kwani hali hiyo inakwamisha mazoezi ya urasimishaji katika maeneo mengi

Naibu waziri alitoa kauli hiyo Novemba 03,2021  kwenye Mkutano wa kusikiliza na kutatua kero za  wananchi uliofanyika Mtaa wa Kwa Yusuph kata ya Msigani Manispaa ya ubungo na kusema kuwa  katika utaratibu wa urasimishaji ardhi eneo linalasimishwa mara moja ili lilasimishwe upya ni lazima hati ya awali ifutwe

"Kwa ubungo  changamoto hii ipo na inachangia Kwa kiasi kikubwa ucheleweshwaji wa  upangaji na upimaji wa maeneo hivyo ni lazima jambo hili lifanyike kazi Kwa wale walioko kwenye maeneo hayo ili kuyawezesha Makampuni kufanya kazi yake kwa wakati" alifafanua Mhe.Mabula

Aidha,  Naibu Waziri amekabidhi hati 32 za umiliki wa ardhi kwa wananchi wa Mtaa wa Kwa Yusuph na Malambamawili katika kata ya Msigani ikiwa ni mwendelezo wa kuhakikisha wananchi wanamilikishwa maeneo yao kisheria.

Ili kuhakikisha Mpango wa urasimishaji unakamilika ifikapo 2023, Serikali imefikia uamuzi wa kushirikiana na mabenki Kwa kuwakopesha  fedha wananchi  Kwa ajili ya kugharamia urasimisha wa  maeneo yao kutokana na wananchi wengi kutomudu gharama hizo ambapo Kwa sasa zoezi hilo linatekelezwa Wilaya ya mbalali Mkoani Mbeya.



Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.