• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

WANAUBUNGO KUNUFAIKA NA HUDUMA ZA KISHERIA BURE

Posted on: June 11th, 2022

Wananchi wa Ubungo  wanatarajia kuanza kupata  usaidizi wa kisheria kwenye changamoto mbalimbali zinazowakabili  kutoka kwa wanasheria wa kampuni ya NMG Artoney  pamoja na wanafunzi  wa sheria ambapo huduma hiyo itatolewa katika kata zote 14 za wilaya hiyo.

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Kheri James leo Juni 11 2022 alipozindua programu maalumu ya usaidizi wa masuala ya kisheria kwa wananchi wa wilaya hiyo ambapo wananchi watapata fursa ya kukutana na mawakili na keleza na kusaidia masuala mbalimbali yanayohitaji usaidizi wa kisheria.

Akiainisha masuala makubwa yanayowakabili wanancho wa ubungo ni pamoja na migogoro ya ndoa, ardhi, Mirathi,  pamoja na migogoro ya kibiashara, hivyo uwepo wa programu hii kwa wananchi ni msaada mkubwa kwa Serikali kutatua changamoto hizo ambazo kimsingi zilipaswa zishughulikiwe na serikali.

Kutokana na umuhimu huo, Mhe. Kheri amewasisitiza wenyeviti, watendaji wa kata na mitaa kutoa ushirikiano kwa wanasheria hao ikiwemo kuwatangazia wananchi kuhusu uwepo wa huduma hiyo ili waweze kutumia fursa hiyo adhimu bure kabisa.


Aidha, akitoa maelezo ya ushiriki wao, Mkurugenzi wa kampuni ya NMG Artoney ndugu Gerald Noah amesema wao  wapo tayari kutoa msaada huo wa kisheria kwa wananchi wa Ubungo na amemshukuru Mkuu wa wilaya pamoja na viongozi wengine kwa ushirikiano walionesha kwa kuwapokea na kuwaruhusu kutoa huduma ya kisheria kwa wanaubungo.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa manispaa ya ubungo  ndugu Beatrice Dominic amewapongeza wanafunzi na mawakili hao kwa moyo wao wa kizalendo wa kutaka kuwahudumia wananchi kwenye eneo nyeti la usaidizi wa kisheria


#UbungoYetuFahariYetu

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.