• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

WANAUBUNGO WAPONGEZWA KWA USHIRIKI WAO KATIKA JUMAMOSI YA USAFI

Posted on: August 27th, 2022

Zoezi la usafi wa mwisho wa Mwezi kwa Wilaya ya Ubungo limefanyika mapema leo katika Kata ya Goba na Wananchi wa Goba wameshiriki kwa wingi katika zoezi na kupongezwa kwa ushiriki wao

Aidha, katika zoezi Hilo Mkuu wa Wilaya ya Ubungo wilaya ya Ubungo Mheshimiwa Kheri James  ameendelea kuwasititiza  mwananchi yoyote ambae hajahesabiwa ni lazima atafikiwa kwa sababu yoyote ile kwani hata siku za kuhesabu watu zikiisha na kuna mwananchi hajahesabiwa lazima afatwe kuhesabiwa kwa siku zijazo

Aliendelea kwa kusema kuwa, taarifa hizo zitasaidia serikali kupanga maendeleo na kuboresha ufanisi wa huduma katika wilaya hiyo.


 Kheri,  amewaeleza wananchi kua zoezi la sensa hadi sasa kulingana na taarifa kutoka serikalini ni kwamba zoezi linaenda vizuri sana katika wilaya ya ubungo huku akiwasisitizia viongozi wote wa serikali za mtaa na wananchi kutoa msaada kwa makarani ili kuwafikia wananchi wote na kusaidia zoezi hilo liende kwa haraka na ufanisi mzuri.

"Hakuna mwananchi ambae hatahesabiwa, wote mtahesabiwa kikubwa ni kutoa ushirikiano kwa makarani na viongozi wa serikali za mtaa ili kuhakikisha zoezi hili linaenda kwa haraka na kwa ufanisi tunaotarajia. "

 Kheri, amewapongeza na kuwashukuru wananchi wote waliojitokeza kushiriki zoezi la usafi katika kata ya Goba asubuhi ya leo.

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.