• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

WASHINDI WA KAUSAPEU HAWA HAPA

Posted on: February 10th, 2024

Washindi wa Kampeni ya Kataa Uchafu, Safisha, Pendezesha Ubungo (KAU-SAPEU) wametangazwa rasmi Leo tarehe 10/2/2024 na mshindi wa kwanza ni Mtaa wa Kibururu kutoka Kata ya Goba umepata zawadi ya kiasi Cha shilingi laki sita(600,000), Mtaa wa pili ni Mtaa wa Sinza "A" kutoka Kata ya Sinza umeondoka na shilingi laki tatu (300,000)  na Mtaa  wa tatu ni Mtaa wa Mabibo kutoka Kata ya Mabibo  umepata kiasi Cha shilingi laki mbili (200,000) na hao ndo washindi wa KAU- SAPEU ( Kataa uchafu, safisha , pendezesha Ubungo kwa kipindi cha miezi nne kupita toka kuzinduliwa kwa kampeni hiyo

Na mtaa uliofanya vibaya kwa kipindi Cha miezi minne pia wamekabidhiwa bendera ya  balozi wa Uchafu Ubungo ambayo itapepea katika mtaa huo ambao ni Mtaa wa MIDIZINI kutoka Kata ya Manzese.

Akizungumza katika hafla hiyo Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Hashim Komba amesema kuwa usafi ni utamaduni , usafi ni ustarabu na usafi ni jukumu la kila mmoja kuhakikisha anaweka mazingira safi

Komba aliendelea kueleza kuwa, Tani 895 za uchafu zinazalishwa kwa Wilaya ya Ubungo hivyo ni jukumu la kila mmoja  kuhakikisha  anafanya usafi ili kuepukana na milipuko ya magonjwa

"Kuna changamoto ya utiririshaji wa maji machafu katika maeneo yetu ni jambo ambalo sio sawa" alisisitiza Komba

Komba alisisitiza Kila mwananchi atambue umuhimu wa kupendezesha maeneo yake, barabara na Wilaya nzima kwa kupanda miti 

Ikumbukwe kuwa tangu kuanzishwa kwa kampeni ya KAU-SAPEU iliyozinduliwa katika Kata ya Manzese mnamo tarehe 26/8/2023  Manispaa ya Ubungo imetangaza rasmi  washindi ambapo waliahidiwa kupata zawadi kwa mtaa utakao fanya usafi vizuri na mtaa utakao fanya vibaya na mtaa huo umepokea bendera inayo sema BALOZI WA UCHAFU UBUNGO.

Washindi hao wamepatikana kwa kuzingatia Vigezo mbalimbali 

Aidha,Wadau mbalimbali wameshiriki wakiwemo TIB,TSP, UDEFO na NIPE FAGIO.















Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • WATOA HUDUMA ZA AFYA NGAZI YA JAMII 30 WAJENGEWA UWEZO

    July 14, 2025
  • MAKABURI 29 YA UFI UBUNGO KISIWANI YAHAMISHWA KUPISHA UPANUZI WA BARABARA.

    July 10, 2025
  • UBUNGO TAYARI TUPO KATIKA MAONESHO YA 49 YA KITAIFA YA BIASHARA 7'7, MNAKARIBISHWA

    June 30, 2025
  • SERIKALI YAZINDUA MADAWATI YA HUDUMA ZA USTAWI WA JAMII KATIKA VITUO VYA USAFIRISHAJI.

    June 30, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.