• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

WASILISHO LA MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 WILAYA YA UBUNGO

Posted on: July 7th, 2023

Timu wa wataalamu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ikiongozwa na Meneja Takwimu Bw. Albert Kapala Julai 07,2023 imetembelea Wilaya  ya Ubungo kwa lengo la kuwasilisha matokeo ya sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 ngazi ya Wilaya ikiwa ni moja ya malengo ya sensa hiyo katika kuhakikisha takwimu hizo zinawafikia wahusika katika ngazi zote ili ziwasaidie katika mipango mbalimbali ya maendeleo.

Uwasilishaji huo ulihusisha Mkuu wa Wilaya, Katibu Tawala wa Mkoa, Katibu Tawala Wilaya, Meya, Mkurugenzi, Mbunge wa jimbo la Ubungo, Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya, Wataalamu kutoka Manispaa, Watendaji wa Kata na Mitaa pamoja na Wenyeviti wa Mitaa.

Akifungua uwasilishaji huo Mgeni Rasmi Bi. Beatrice Mbawala Katibu Tarafa wa Kibamba kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya hiyo, alielezea umuhimu wa Takwimu hizo Kitaifa, Kimataifa, Kimkoa na Kiwilaya katika mipango mbalimbali ya maendeleo na utoaji huduma kwa Wananchi kwa kuangalia mahitaji.

Katika Sensa hiyo idadi ya watu kwa Mkoa wa Dar es Salaam ni watu 5,383,728 na kwa Wilaya ya Ubungo ni watu 1,086,912 kati yao Wanaume ni 519,925 na Wanawake ni 566,987.

Ikumbukwe kuwa zoezi hilo la Sensa lilihusisha hatua tatu. Hatua ya kwanza ilikuwa kuandaa maeneo ya kuhesabia (EA), hatua ya pili ilikuwa kuhesabu watu na sasa ni hatua ya mwisho ni uwasilishaji wa matokeo hayo kwa wadau mbalimbali ili yawasaidie katika kutekeleza majukumu yao.

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.