• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

WATENDAJI KATA NA MITAA WAIMIZWA KUSIMAMIA UKUSANYAJI MAPATO

Posted on: February 23rd, 2022


Watendaji  wa Kata na Mitaa wa Manispaa ya Ubungo wametakiwa kuhakikisha kila mfanyabiashara kwenye maeneo yao wanasajiriwa na analipa kodi  na tozo mbalimbali za TRA na  Halmashauri.


Watendaji wamekumbushwa jukumu hilo leo Februari 23, 2022 kwenye semina elekezi iliyoratibiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA kwa kushirikiana na Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Lengo ikiwa ni kuwajengea uelewa kuhusu umuhimu wao katika kufanikisha kazi ya ukusanyaji wa mapato ya  TRA na  Halmashauri ambayo ndio Msingi wa utekelezaji wa shughuli za Maendeleo Kwa wananchi.


Akizungumza kwenye semina hiyo Afisa kutoka TRA Bi. Mercy ameeleza kuwa ili Serikali iweze kukusanya mapato ni lazima kila mfanyabiashara atambulishwe kwa kuwa na TIN namba itakayomwezesha kulipa Kodi na tozo zingine ikiwemo leseni, ushuru na tozo mbalimbali.


Wafanyabiashara  wote wanapatikana kwenye Mitaa  na Kata zenu hivyo ni wajibu kuwatambua na kujua anaelipa Kodi na asiyelipa hii itasaidia kurahisisha ufuatiliaji Kwa wale wanaokwepa Kodi.


 Mercy ameendelea kueleza kuwa semina hii inalenga kuongeza ushirikiano ili taasisi hizi ziweze kufikia malengo ya makusanyo yaliyopangwa kukusanywa Kwa kila chanzo.


Ni ukweli usiopingika kuwa Halmashauri na TRA bado hatujafikia malengo kwa maana baadhi ya Wafanyabiashara hawalipi Kodi Kwa kuwa hawajarasimisha biashara zao au kutofikiwa wakati wa ufuatiliaji ndio maana tumeamua kuunganisha nguvu kwa kuwahusisha Watendaji ili iwe rahisi kuwafikia.


Tambueni kuwa kila mfanyabiashara ambaye anafanya biashara kwenye  kibanda au ofisi ana wajibu wa kulipa kodi na tozo mbalimbali za Serikali.


Aidha, Watendaji wana wajibu wa kuwaelekeza Wafanyabiashara kuwa kila mwanzo mwa mwaka yaani January Hadi Machi wanatakiwa kwenda TRA kupata makadilio ya Kodi ili kuwezesha Halmashauri kuweza kutoa leseni na ushuru wa huduma hii itasaidia Serikali kukusanya mapato.


Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.