• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

WATENDAJI WA KATA WASISITIZWA KUSIMAMIA AFUA ZA LISHE

Posted on: April 18th, 2024

Watendaji wa kata  Manispaa ya Ubungo wasisitizwa kusimamia afua za lishe kwenye Kata na Mitaa yao katika kikao cha tathmini ya nusu mwaka ya lishe kuanzia julai mpaka disemba 2023 

Agizo hilo limetolewa na  Katibu Tawala Wilaya ya Ubungo Mhe. Hassan Mkwawa alipochanganua taarifa ya kipindi Cha nusu mwaka ya utekelezaji wa mpango wa lishe katika Kata na Mitaa uliolenga mambo mbalimbali kuhusiana na lishe sambamba na kutoa elimu kwa jamii na kusimamia utoaji wa vyakula mashuleni 

Mkwawa aliendelea kueleza kuwa, ni jukumu la Kila mtendaji kuhakikisha baada ya kiwango rasmi kutolewa cha wazazi kuchangia kitakachokuwa ni nafuu kwa kila Mzazi kuhakikisha wanazingatia viwango hivyo ili wanafunzi waweze kupata chakula wakiwa shuleni.

"Ili kupata mtoto mwenye uelewa ni lazima lishe izingatiwe la sivyo watoto wenye udumavu wataongezeka kutokana na  lishe duni" alieleza Mkwawa

Sambamba na hayo afisa lishe Manispaa ya Ubungo Beatrice Mossile amesoma taarifa ya mpango wa mafanikio ya lishe na kusema kuwa huduma jumuishi zimefanyika kwa pamoja na jamii ikiwemo upimaji wa hali ya lishe, elimu ya ulaji unaofaa kwa Vitengo (mapishi) chanjo kwa watoto, huduma kwa wajawazito na wanaonyonyesha na usafi wa Mazingira

Mossile aliendelea kwa kueleza kuwa pia vituo vya kutolea huduma za afya na Vitengo na idara mtambuka kuhusu  huduma mtambuka za lishe vimeweza kupanga bajeti ya utekelezaji wa huduma za lishe na kazi kuweza kufanyika





Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.