• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

WATENDAJI WASISITIZWA KUFATA KANUNI,TARATIBU NA SHERIA ZA UTUMISHI WA UMMA

Posted on: March 4th, 2024

Watendaji wa Kata na Mitaa Leo tarehe 4 march, 2024  wamepatiwa mafunzo elekezi kuhusiana na misingi ya utumishi wa umma na kusisitizwa kuhakikisha wanafata na kuzingatia  kanuni,taratibu na Sheria za utumishi wa ummaMafunzo hayo yametolewa na wawezeshaji mbalimbali wakiwemo wakuu wa Idara na Vitengo na mwezeshaji kutoka TAKUKURU 

Akizungumza mwezeshaji kutoka Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa(TAKUKURU)  Ndg.Peter Nyandindi amesema kuwa ni jukumu la kila mtumishi wa umma kuhakikisha katika eneo lake la kazi anaekuepukana na kupokea  rushwa na kufata kanuni,taratibu na Sheria za utumishi wa umma

"Kwa mtumishi kupokea rushwa ni hatari kwa kazi yake na mwisho wa siku uwezekano wa kupoteza kazi ni mkubwa hivyo ni jukumu la kila mmoja kuzingatia taratibu za kazi na kuacha kupokea rushwa" alisisitiza Peter 

Mwezesha wa pili ambaye ni Afisa utumishi Manispaa ya Ubungo Charles Uronu amezungumzia kuhusiana na mfumo wa ESS na kuwasisitiza kuhakikisha kila mmoja anajiunga na mfumo huo 


Nae, Mkuu wa Kitengo Cha Tehama Manispaa ya Ubungo Sophia Kayombo amesisitiza Kila mtendaji kuzingatia matumizi ya mfumo wa TAUSI ambao ndio mfumo mpya wa Serikali kwaajili ya ukusanyaji wa mapato badala ya mfumo wa LGRCIS na kuzingatia matumizi sahihi ya POS machine.

Aidha watendaji wamesisitizwa kuhakikisha wanasimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo sambamba na kusimamia  ukusanyaji wa mapato 

Nae Mwakilishi wa Mweka hazina Manispaa hiyo Ndg. Honest Agapiti amesisitiza watendaji  kuhakikisha fedha zinaingizwa benki kwa wakati na kuwataka kuacha kukaa na fedha za Serikali mikononi 

Na pia watendaji wamesisitizwa kukusanya fedha kwaajili ya vibali vya ujenzi na pia katika mafunzo hayo elimu kuhusiana na maswala ya Kupambana na kudhibiti Ukimwi yametolewa.




Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.