• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

WATENDAJI WATOA TUZO YA HESHIMA KWA MAREHEMU KELVIN MOWO

Posted on: October 14th, 2021

Kufuatia kifo cha aliyekuwa Mtendaji wa mtaaa wa Msumi kata ya Mbezi Kelvin Mowo aliyekufa baada  ya kukatwa na mapanga na watu wasiojulikana akiwa ofisini kwake siku ya tareh 11oktoba 2021, watendaji wa kata na mitaa wa mkoa wa dar es salaam wamekubaliana kuanza kuadhimisha siku ya mtendaji kila tarehe 11 mwezi oktob ya kila mwaka kwa kutoa tuzo ya heshima kwa kwa kila mtendaji anayepitia changamoto katika kutekeleza majukumu yake wakianza na marehemu Kelvin Mowo

makubaliano hayo wameyafanya tarehe  14.10.2021 wakati wakitoa salamu za pole kwa familia na serikali kwa mtendaji mwenzao aliyepoteza maisha akiwa kazini akihudumia wananchi

Tumeamua kuanzisha tuzo hii ikiwa ni namna ya kumkumbuka ndugu na mtumishi mwenzetu Kelvin Mowo aliyepata umauti  akiwa kazini kwa kushambuliwa tuzo hiyo itaitwa MOWO

Akiongea wakati salamu hizo mtendaji kutoka manispaa ya kinondoni Frank Kalinga alieleza kuwa jamii inapaswa kufahamu kuwa watendaji wa kata na mitaa ni wanajamii wenzao na sio maadui

shambulio hili sio la kelvin Mowo bali ni shambulio la watendaji wote tunaomba haki ikatendeke kwa wale waliohusika na kifo hiki kwa hatua za kisheria. alieleza Kalinga



Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • WANANCHI ZAIDI YA 200,000 WANUFAIKA NA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA

    June 21, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI UBUNGO LAVUNJWA, DC MSANDO AWAMWAGIA SIFA

    June 20, 2025
  • VIONGOZI WA WAFANYABIASHARA SOKO LA MANZESE WALA KIAPO CHA UADILIFU

    June 19, 2025
  • KIKAO CHA TATHMINI YA LISHE KWA ROBO YA TATU MWAKA WA FEDHA 2024/25 (JANUARI - MACHI 2025)

    June 20, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.