• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

WATUMISHI MANISPAA YA UBUNGO WAPATIWA MAFUNZO YA MFUMO MPYA WA MANUNUZI.

Posted on: September 23rd, 2023

Mfumo wa sasa wa manunuzi ujulikanao kwa jina la TANePS utafika ukomo wa matumizi yake ifikapo Septemba 30, 2023 na hivyo mfumo mpya wa manunuzi wa NeST utaanza kutumika rasmi Oktoba 1, 2023, Halmashauri zote hazitaruhusiwa kufanya ununuzi wowote bila kutumia mfumo wa NeST.

Kauli hiyo imetolewa na Ndg. Benito Kalinga Mkuu wa Kitengo cha ununuzi na ugavi Manispaa ya Ubungo alipokuwa akitoa mafunzo ya mfumo wa NeST kwa wataalamu wa Manispaa hiyo kwa kushirikiana na Sophia Kayombo Mkuu wa Kitengo cha TEHAMA  Septemba 23, 2023 ndani ya ukumbi wa Manispaa hiyo.

Kalinga ameendelea kueleza lengo la mafunzo hayo ni kujifunza jinsi ya kutumia mfumo mpya na hivyo kuhakikisha Manispaa hiyo inatumia mfumo huo katika manunuzi yote yanayotumia fedha za Umma.

Aidha, Kalinga amemshukuru Mhe.  Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuiwezesha wizara ya fedha ambapo ilishirikiana na PPRA katika kutengeneza mfumo huo ambao kwa kiasi kikubwa utasaidia kuongeza uwazi, ushindani na usawa katika shughuli za ununuzi na hivyo kuondoa mianya ya rushwa na kupata thamani halisi ya fedha katika ununuzi wa Umma.

Mfumo wa TANePS ulianza kutumika 2019, na baada ya kuonekana kuwa na changamoto ndipo Serikali ya awamu ya sita chini ya Uongozi wa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ikaamua kuanzisha mfumo mpya wa manunuzi wa NeST.


Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.