• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

WATUMISHI NANE WASIMAMISHWA KAZI, KUPISHA UCHUNGUZI

Posted on: June 24th, 2022
  1. Baraza la madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo limewasimamisha kazi watumishi nane (8) akiwemo mkuu wa idara ya maendeleo ya jamii kwa ajili ya kupisha uchunguzi wa tuhuma ya kushiriki kwenye mchakato wa ununuzi wa gari la taka ambalo limebainikia kuwa ni gari bovu la kikundi cha Energy women kilichokopeshwa shilingi milioni 70 kupitia mikopo ya 10% ya Manispaa huku kikundi hicho kikiwa kimerejesha shilingi Milioni nane tu mpaka sasa, hivyo kimetakiwa kurejesha fedha shilingi milioni 62 zilizobaki ndani ya kipindi cha mkataba.

Watumishi hao waliosimamishwa kazi ni pamoja na Rose A. Mpeleta Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii, Allen Mjindo Afisa maendeleo ya jamii kata ya kwembe, Edger Msuya Afisa biashara, Amon Mboka Mhasibu wa Mikopo, Yusta Yongole Afisa maendeleo ya jamii kata ya mabibo, Evelyne Mangweha Afisa Maendeleo ya jamii na msajili wa vikundi, happiness Mwamakula afisa maendeleo ya jamii na mratibu wa mikopo ya vikundi na Juliana Kibonde afisa maendeleo ya jamii na msajili wa NGO’s.

Aidha, baraza limeazimia kuwa maafisa maendeleo ya jamii waliohamishwa vituo vya kazi warudi kwenye vituo vyao vya zamani ili wakasimamie marejesho ya mikopo ya vikundi kwa kipindi cha miezi mitatu na wakishindwa wachukuliwe hatua.

Baraza limewataka watumishi wote kutekeleza wajibu wao kwa kufuata Sheria, Taratibu na Kanuni ya utumishi wa umma.


Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.