• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

WAZAZI WASISITIZWA KUZINGATIA SIKU 1000 ZA UKUAJI WA MTOTO

Posted on: March 19th, 2024

Ni muhimu mama/Walezi/wazazi  kuzingatia lishe bora kwa Siku 1000 toka kutungwa kwa mimba mpaka mtoto anapofikia miaka 2 ili kumuepusha mtoto na magonjwa sugu yasiyoambukiza.

Hayo yameelezwa na Afisa lishe Manispaa ya Ubungo Beatrice Mossile akitoa mafunzo kwa Wauguzi, Maafisa ustawi na Maafisa lishe kwaajili ya  kuwajengea uwezo kuhusiana na lishe bora ili kupunguza ongezeko la watoto wenye utapia Mlo

Mafunzo hayo yametolewa Leo 19 march, 2024 yenye Lengo la kuwajengea uwezo utakao wawezesha kutoa elimu katika ngazi ya  jamii kuhusiana na mikakati inayolenga kuzuia ongezeko la Utapia mlo, kifua kikuu na Ukatili wa kijinsia kwa watoto

Mossile, amesema kuwa ni muhimu Lishe bora kuzingatiwa kwa wakina mama  katika kipindi cha Siku 1000 itasaidia mtoto katika ukuaji wake hasa katika ubongo wa mtoto na  katika swala zima la kujifunza na kuweza kujikwamua kwenye umaskini

Mama anapozingatia lishe yenye mlo kamili itasaidia mtoto atakayezaliwa kuepukana na utapia mlo,uzito pungufu na kupunguza kiwango Cha udumavu kwa watoto.alisisitiza Mossile

Ni muhimu kuzingatia Makundi muhimu ya vyakula ambayo yako sita nayo ni  1.Nafaka 2.vyakula asili ya mimea 3.vyakula vyenye asili ya wanyama 4.Matunda 5.Mboga mboga na 6. sukari,asali na mafuta. Alisema hayo Mossile

Aidha, Mratibu wa kifua kikuu Manispaa ya Ubungo Catherine Saguti amesema kuwa watoto wako hatarini kupata kifua kikuu kulingana na Mazingira ambayo yamewazunguka ikiwemo kuishi na mtu mzima mwenye kifua kikuu Cha mapafu na kuishi kwenye jamii yenye maambukizi ya kifua kikuu

Catherine aliendelea kwa kusema kuwa, Dalili za kifua kikuu kwa mtoto ni pamoja na kukohoa kwa wiki mbili mfululizo,kukosa uchangamfu,kupungua uzito,kukosa hamu ya kula na kupata homa kwa wiki mbili au zaidi

Aidha,Afisa Ustawi Manispaa ya Ubungo Zainabu Masilamba amesisitiza uzingatiaji wa malezi ya watoto kwa kuwapa malezi bora ili kuepukana na matendo ya Ukatili wa kijinsia kwa kuwapa mahitaji muhimu

Aliendelea kwa kusema kuwa ni muhimu watoto kupewa elimu kuhusiana na maswala  ya Ukatili wa kijinsia unaofanyika katika jamii zetu ili tuwaepushe na watu wenye dhamira mbaya

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • USAFI WA MWISHO WA MWEZI WAFANYIKA MANZESE

    July 26, 2025
  • WAJANE WASHAURIWA KUANZISHA MIRADI YA MAENDELEO KUJIKWAMUA KIUCHUMI

    July 26, 2025
  • WALIMU WAKUBORA NGAZI YA SHULE WANOLEWA KUTUMIA MFUMO WA KIDIJITI WA UTHIBITI UBORA WA SHULE.

    July 22, 2025
  • TIMU YA UKAGUZI NA UFUATILIAJI WA MIRADI YAINGIA SITE ,YAPONGEZA NA KUAGIZA KASI IONGEZEKE UTEKELEZAJI WA MIRADI

    July 21, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.