• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

WAZEE WAMPONGEZA DC KOMBA KWENYE KONGAMANO

Posted on: December 4th, 2023

Wazee kutoka Kata ya Kwembe wamempongeza Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe.Hashim Komba kwa  kuwa kiongozi wa mfano kwa  kuandaa kongamano la baraza la wazee Wilaya ya Ubungo ili kusikiliza kero zao na pia wamemshukuru kwa ujio wake katika kata hiyo.

Pongezi hizo zimetolewa  tarehe 4 disemba, 2023 katika ukumbi wa Elite uliopo Kwembe ambapo Komba alisikiliza kero za wazee hao na kuahidi  kila changamoto iliyoongelewa itatatuliwa kwa wakati 

Akiongea Kuhusiana na swala la ulinzi na usalama Komba amewaagiza police kata kuhakikisha mitaa yote inakuwa na ulinzi shirikishi na kuhakikisha wanafanya dolia mara kwa mara ili kuhakikisha maswala ya uhalifu yanatoweka katika mitaa na kuwaagiza pia  wenyeviti kuhakikisha wanasimamia swala hilo baada ya wazee hao kulalamikia uwepo wa vibaka katika maeneo yao.

Komba, baada ya kupokea changamoto ya wazee hao ya  kukosa matibabu wanapofika katika vituo hasa waliopatiwa bima ya msamaha wa matibabu na wengine kukosa bima hizo za masamaha wa matibabu, Komba  alimwaagiza Afisa ustawi kuhakikisha wazee wote wanapata bima za msamaha wa matibabu kwa wasio nazo  na kuwataka wataalam hao kufatilia changamoto hiyo ya kukosa matibabu kwa wazee na kutafutia  suluhisho kwa haraka 

Aliendelea kueleza kuwa,  kwa wazee waliokosa  msaada kutoka katika mfuko wa maendeleo ya jamii wa kusaidia kaya maskini (Tasaf) baada ya kujiandikisha Komba aliwaagiza  wataalam wanaoratibu zoezi hilo la kutambua kaya maskini kuhakikisha wanaporatibu zoezi katika ngazi ya jamii kuhakikisha wanawapatia mrejesho wananchi ili wajue Muafaka wa mazoezi ambayo Serikali inayafanya ili kuondoa sintofahau kwa wananchi, baada ya wazee hao kulalamika kuchukuliwa kwa taarifa zao bila yakuona mwendelezo 

Na katika swala la urasimishaji ambao maeneo yao yalishapimwa na wanasubili kupatiwa hati, Komba aliwataka kufika katika viwanja vya Kimara Stopover ambapo zoezi la ardhi clinik linaendelea  ili waweze kupata hati zao 

Nae, Makamu wenyekiti wa baraza la wazee kutoka chama Cha mapinduzi Ndg.Pheruzy Kafuku Amewashukuru wazee kutoka Kwembe  kwa ujio wao na kumshukuru Mkuu wa Wilaya kwa kuwasilikiza wazee hao
















Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.