• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

WAZIRI GWAJIMA AHIMIZA UPATIKANAJI WA TAARIFA ZA WATOTO WATORO MASHULENI

Posted on: March 21st, 2024

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, wanawake na Makundi maalumu Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ametoa wito kwa viongozi wa wilaya ya Ubungo kuhakikisha wanaanza utaratibu wa ukusanyaji wa taarifa za wanafunzi watoro mashuleni ili kupata kiini halisi cha watoto wa mitaani

Waziri Gwajima ametoa wito huo Machi 21, 2024 wakati wa ziara yake aliyoifanya ndani ya wilaya ya Ubungo iliyokua na lengo la kufatilia udhibiti wa wimbi la watoto wanaoishi na kufanya kazi mitaani

"Tatizo la watoto wa mitaani Ubungo na Dar es salaam linazidi kukua kwa kasi, lazima sisi kama jamii kwa kushirikiana na wataalamu tushirikiane kupata majawabu ya tatizo hili. Maafisa maendeleo, maafisa ustawi na viongozi wa wilaya na Halmashauri shukeni chini kwenye jamii kunyanyua hali za uchumi za wananchi ili watoto wasiache shule na kukimbilia mtaani" alisema Gwajima

Awali akiwasilisha taarifa ya watoto wa mitaani afisa ustawi wa jamii Manispaa ya Ubungo Zainab Masilamba amesema, tatizo kubwa la watoto wa mitaani kwa wilaya ya Ubungo linatokana na watoto hao kuingizwa kutoka mikoa mbalimbali kwa lengo la kuja kufanya kazi na wengine kujitafutia kipato wao wenyewe. Kwa idadi kubwa watoto hao wamekua wakiishi katika daraja la Kijazi pamoja na kituo cha Mabasi cha Magufuli

Kwa mujibu wa mpango kazi wa taifa wa kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake na watoto (MTAKUWWA) kamati zilizopo katika ngazi ya mitaa ndizo zenye nafasi kubwa ya kufuatilia matatizo mbalimbali yanayowahusu watoto ambayo yanaathiri maisha yao moja kwa moja

Nae mkuu wa wilaya ya Ubungo Mhe. Hassan Bomboko ameshauri kufanyika kwa marejeo ya sera ya kumlinda mtoto ili kuongeza ushirikiano wa sekta na idara mbalimbali kupunguza tatizo la watoto wanaoacha shule na kufanya kazi mitaani

Aidha Bomboko ameweka wazi kuwa wao kama wilaya wanayo mikakati madhubuti ya kukabiliana na changamoto hiyo ikiwemo kuanza kufanya oparesheni za kuwaondoa watoto hao mitaani na kuwapa misaada mbalimbali ikiwemo ya makao pamoja na kuwarudisha mashuleni

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.