• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

WENYEVITI SIMANIENI MAPATO, DC KOMBA UBUNGO

Posted on: February 6th, 2023


Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Hashim Komba amewataka Wenyeviti wa Mitaa ya Manispaa ya Ubungo kuendelea kusimamia ukusanyaji wa mapato na miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa kwenye maeneo yao.

Maagizo hayo ameyatoa leo tarehe 06/02/2022 alipokuwa kwenye kikao kazi na wenyeviti 90 wa mitaa iliyopo Manispaa ya Ubungo kilicholenga kufahamiana na wenyeviti hao na kuboresha utendaji kazi wao.

Katika kikao hicho Wenyeviti hao wamefanikiwa kueleza changamoto mbalimbali zinazowakabili juu ya utekelezaji wa majukumu yao ambapo Mhe. Komba amewaahidi kushirikiana nao katika utatuzi wa changamoto hizo.

Sambamba na hayo Mhe. Komba amewataka Wenyeviti hao kuendelea kuimarisha mahusiano mazuri baina yao na Madiwani, Watendaji wa Kata na Mitaa, Wajumbe wa Serikali za Mitaa na Watumishi mbalimbali wa Manispaa hiyo.

Ikiwemo na kusimamia usafi wa mazingira na amewataka wataalamu wa afya kuandaa programu za ugawaji wa zawadi kwa mitaa itakayofanya vizuri juu ya usafi wa mazingira.

Akiongea Mwenyekiti wa Mtaa wa Mpiji Magohe Mhe. Saidi Selemani Biuchile kwa niaba ya wenyeviti hao amempongeza Mkuu wa Wilaya hiyo kwa kuona tija ya kuongea nao na wameahidi kuendelea kutekeleza majukumu yao kwa maslahi ya wananchi na kuyafanyia kazi maelekezo yote yaliyotolewa na Mhe. Komba.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Manispaa hiyo Ndg. Beatrice Dominic amewataka Wenyeviti hao kuendelea kushirikiana nae vyema katika nyanja mbalimbali kwa maslahi ya wananchi

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.