• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

WENYEVITI WA MITAA MANZESE WAJINASIBU KUSHINDA PIKIPIKI, KAU - SAPEU WAIKUBALI NA WAAHIDI USHIRIKIANO WA DHATI

Posted on: September 6th, 2023

Mapema  Septemba 6, 2023 idara ya udhibiti wa taka ngumu na usafishaji Manispaa ya Ubungo ikiongozwa na mkuu wake wa idara ndugu Lawi Benard, wameendelea na uhamasishaji wa usafi wa mazingira katika muendelezo wa kampeni ya "Kataa Uchafu, Safisha Pendezesha Ubungo (KAU - SAPEU)"

Uhamasishaji huo umefanyika kata ya Manzese katika mitaa ya Mnazi mmoja, Mwembeni na mtaa wa Midizini.

Wenyeviti wa mitaa hiyo wamejinasibu kuwa na mbinu na mikakati kabambe ya kuhakikisha mitaa yao inakuwa misafi na salama wakati wote

Ikumbukwe kampeni hiyo ilizinduliwa Agosti 26, 2023 katika kata ya Manzese na Mkuu wa wilaya ya Ubungo Mhe. Hashim Komba, ambapo kila baada ya miezi mitatu kutakua na tahmini ya mshindi wa kwanza kwa usafi ambapo atapatiwa zawadi ya shilingi 600,000 mshindi wa pili shilingi 300,000 na mshindi wa tatu kupata shilingi 200,000.

Aidha, kila baada ya miezi 6 pia kutakua na tathmini kubwa zaidi ambapo mtaa utakaoibuka mshinda utapatiwa pikipiki mbili, moja ikiwa ni ya mwenyekiti na nyingine mali ya mtaa

Ikumbukwe, mtaa utakaokuwa mchafu kuliko yote utakabidhiwa bendera itakayokuwa imeandikwa "Balozi wa Uchafu Ubungo", na hiyo yote ni katika kusaidia mitaa yote ishindane kuwa misafi ili isikabidhiwe bendera hiyo

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.