• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

WORLD VISION yatambulisha Mradi wa AHADI (AHADI PROJECT) Wilaya ya Ubungo.

Posted on: May 15th, 2023



Katika utambulisho huo wa mradi, Mgeni rasmi, Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Hashim Komba alianza kwa kuwashukuru World Vision kwa mradi huo ambao unatekelezwa katika Wilaya nne ndani ya Mkoa wa Dar es salaam, Ubungo ikiwa ni moja ya wanufaika. Mradi huo unaohusiana na utoaji wa elimu ya Maadili na Afya ya uzazi kwa watoto wa kike na kiume waliopo shule na nje ya shule kuanzia umri wa miaka 10 hadi 19.


Mhe. Komba alisema "naamini mradi huu unakwenda kuleta mabadiliko makubwa katika Wilaya yetu hasa kipindi hiki kwani kumekuwepo na uporomokaji mkubwa wa maadili. Aliyataja baadhi ya maeneo yaliyopo katika Wilaya hiyo kama Mburahati na Manzese ambayo yapo hatarini.

Pia Mhe. Komba alisema malengo ya kuutambulisha mradi huo kwa wadau ndani ya Wilaya hiyo ni kuwapa uelewa wa mradi huo ili waweza  kutoa ushirikiano. Wadau hao ni Kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya, Wakuu wa Idara na Vitengo, Viongozi wa dini, Watendaji wa Kata na Mitaa ili kila mmoja autambue na aweze kutoa ushirikiano kwa nafasi yake na kuhakikisha malengo ya mradi yaliyokusudiwa yanafikiwa.


Aliongeza zaidi, katika mradi huu unaolenga watoto wa kike na kiume kuanzia umri wa miaka 10 hadi 19. Ukaguse makundi yaliyokusudiwa, makundi yaliyolengwa na mradi huo na kuwataka watendaji kwenda kusimamia hilo, alisema "Nendeni mkawe msaada kubainisha makundi lengwa katika maeneo yenu".

Mradi huo unaosimamiwa na Bi. Mwivano Malimbwi ambaye ni Meneja mradi kutoka World Vision, alisema mradi huu unawalenga watoto wa kike na kiume waliopo shule na nje ya shule ili kuwapa Elimu ya maadili na Afya ya uzazi. Hilo limekuja kwa kuona kuna changamoto kubwa upande wa maadili na Afya ya uzazi, hivyo World Vision wakaone waje na mradi huo na kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wanajishughulisha na makundi ya jamii moja kwa moja na kwa kuangalia Dira ya Serikali juu ya jambo hilo.


Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.