• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

YALIYOJIRI KONGAMANO LA DC KOMBA NA WAZEE WA KATA YA MBEZI

Posted on: December 6th, 2023

 Mapema  disemba 6, 2023 mkuu wa wilaya ya Ubungo Mhe. Hashim Komba ameongoza kongamano la kuongea na wazee wa kata ya Mbezi lilifanyika katika ukumbi uliopo kwenye kituo cha mabasi cha Magufuli

  • DC Komba amekiagiza kitengo cha ustawi wa jamii Manispaa ya Ubungo kuhakikisha takwimu halisi za wazee ndani ya wilaya ya Ubungo zinapatikana ili kupata namna nzuri zaidi ya kuwafikia wazee wote na huduma zao za msingi hasa huduma ya afya
  • Viongozi wote kuanzia ngazi ya mtaa kwa kuanza na wenyeviti wa mtaa wanatakiwa wajenge utamaduni wa kushuka chini kukutana, kuongea na kutatua changamoto za wazee
  • DC Komba amesisitiza kuwa uzee ni tunu, uzee ni hekima, uzee ni busara na uzee ni dawa, hivyo uongozi mzima wa wilaya ya Ubungo utahakikisha unaweka mazingira rafiki ya upatikanaji wa huduma zote za msingi za wazee wetu, na kwa kufanya hivo ni kutekeleza maagizo ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
  • Miongoni Mwa hoja zilizogusiwa sana na wazee hao ni pamoja na hoja ya kuigawanya kata ya Mbezi kiutawala kutokana na ukubwa wake, hoja ambayo imepokelewa na DC Komba ambapo ameahidi kuanza mchakato wa kufikia hatua hiyo ya kugawanya au kuongeza maeneo ya kiutawala kulingana na ukubwa wake


  •  Katika hoja ya uboreshaji wa miundombinu ya barabara kwa kuweka lami ambapo wazee wameomba hilo lifanyike, DC Komba amewahakikishia wazee hao kuwa serikali ya Dkt. Samia Suluhu Hassan ipo kazini kutekeleza shughuli mbalimbali za maendeleo ambapo tayari wilaya ya Ubungo imekwishapatiwa jumla ya kilomita za lami 52.26 kupitia mradi wa DMDP ambapo ujenzi wa barabara hizo unatarajiwa kuanza mapema mwaka 2024

  •  DC Komba anaendelea na ziara yake ya kukutana na kuongea na wazee wa wilaya ya Ubungo kwa kata zote 14 ili kusikiliza na kutatua kero zao













Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.