• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

ZIARA YA MKURUGENZI NTIRUHUNGWA KWENYE UKAGUZI WA MIRADI

Posted on: September 23rd, 2023

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Elias Ntiruhungwa mapema  tarehe 23 septemba, 2023 amefanya ziara ya ukaguzi wa miradi na kuagiza kasi ya utekelezaji wa miradi iongezeke ili iweze kukamilika kwa wakati 

Katika ziara hiyo Ntiruhungwa amekagua ujenzi wa shule ya msingi Ubungo NHC,mradi wa ujenzi wa Shule ya Sekondari King'azi, shule ya msingi  kibamba, shule ya msingi Msakuzi Kusini, Shule ya Sekondari ya Dar es Salaam Girls na ujenzi wa shule ya Msingi Tegeta A.

Akitembelea mradi wa ujenzi wa shule mpya ya Sekondari King'azi amepongeza hatua ya mradi ulipofikia na kuwaagiza ifikapo jumatatu mabati katika madarasa yawe yameshaezekwa na pia ifikapo tarehe 28 septemba, 2023 mradi uwe umekamilika

Halikadhalika Ntiruhungwa amepongeza hatua ya mradi wa ujenzi wa Shule ya sekondari ya Dar es salaam girls na shule ya Msingi Kibamba kwa kasi wanayoenda nayo 

"Mmejitahidi maelekezo niliyoyatoa mmeyafata hatua za mradi ipo vizuri na ntaendelea kutembelea ifikapo muda wa kukabidhi kila kitu kiwe kimekamilika"

Halikadhalika, Ntiruhungwa aliagiza katika miradi yote ambayo bado haijakamilika na kasi ya ujenzi ni ndogo  aliwaagiza Mhandisi na Afisa Elimu kuhakikisha wanakesha kusimamia miradi hiyo ikamilike na ifikapo tarehe 28 septemba, 2023 miradi hiyo ikabidhiwe ikiwa imekamilika.

"Kazi ifanyike usiku na mchana katika miradi ambayo haijakamilika nitapita kuona kama utekelezaji unafanyika". Alisisitiza Ntiruhungwa

Mkurugenzi Manispaa ya Ubungo Elias Ntiruhungwa akiongea na mafundi alipotembelea ujenzi wa shule ya sekondari ya King'azi nakuwasisitiza waongeze kasi ya ujenzi ili mradi wukamilike kwa wakati


Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.