• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

ZIARA YA NAIBU KATIBU MKUU OR- TAMISEMI DKT. GRACE MAGHEMBE WILAYANI UBUNGO

Posted on: May 25th, 2021

Tarehe 25 Mei 2021 Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tamisemi  Dkt. Grace Maghembe amefanya ziara ya kutembelea mradi  wa Hospitali ya Wilaya ya Ubungo iliyopo mtaa wa Baruti- kata ya Kimara na baada ya hapo akatembelea hospitali ya Sinza kwa lengo la kufuatilia utekeleza wa miradi inayotekelezwa na Halmashauri na kuona maendeleo yake

Katika ziara hiyo ameambatana  na Mkurugenzi wa Afya Ustawi wa Jamii na Lishe kutoka OR-Tamisemi  Dkt. Ntuli Kapologwe  wametembelea mradi wa hospital ya Wilaya ambao umeshapokea jumla ya fedha Tsh Billion 1.75  ambapo 1.5 billioni  kutoka serikali kuu na milioni 250 kutoka katika mapato ya ndani lakini bajeti ya awali ya  mradi ulikadiriwa kukamilika kwa gharama ya fedha jumla Tshs 1,826,811,290.10 .

Dk.Grace mpongeza Mkurugenzi pamoja na  watalaam kwa utekelezaji wa mradi huo uliozingatia viwango vinavyostahili

"tutawalete watumishi 10 waongeze nguvu katika idara ya afya na fedha million 800 kwaajili ya ujenzi wa jengo la wodi, mochwali na jengo la upasuaji" Alisema hayo Dkt.Grace

Aidha wakati wa akiwasilisha taarifa kuhusiana na mradi huo Mganga mkuu wa Manispaa ya Ubungo Dkt.Peter Nsanya alieleza kuwa mpaka sasa mradi huo  umekamilika kwa 90% ukihusisha majengo saba (Jengo la wagonjwa wa nje ,jengo la wazazi,jengo la kufulia,utawala,Stoo ya Dawa ,Maabara na Jengo la wazazi)

Sambamba na hayo Dkt. Grace aliwaagiza  wataalam kuzingatia mifumo mizuri ya kushughulikia wananchi kero zao na aliwakuta wana kikao cha Kamati ya fedha chanHalmashaui nankuwataka  madiwani kuhakikisha  wanasimamia swala zima la ukusanyaji wa mapato na matumizi ya halmashauri

Na pia utunzaji bora mazingira kwa afya ya wanachi wa ubungo na kuepukana na magonjwa ya milipuko

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • MHE.MALIMA KATIKA BANDA LA UBUNGO MAONESHO NANENANE

    August 06, 2025
  • UBUNGO YAADHIMISHA WIKI YA UNYONYESHAJI MAZIWA YA MAMA DUNIANI, ZAHANATI YA GOBA

    August 05, 2025
  • MAFUNZO YA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA YAZINDULIWA

    August 04, 2025
  • USAFI WA MWISHO WA MWEZI WAFANYIKA MANZESE

    July 26, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.