• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA NISHATI WILAYANI UBUNGO

Posted on: November 18th, 2019

Naibu waziri wa Nishati   Mhe. SUBIRA MGALU  ametembelea Wilaya ya Ubungo na kupokelewa na  Mkuu wa Wilaya ya Ubungo  Mhe.KISARE  MAKORI  na Mbunge wa Kibamba  Mhe.JOHN MNYIKA  pamoja na  Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo ambaye pia ni Mkuu wa Idara ya Kilimo  Bi.HAPPINESS  MBELLE wakati wakitembelea miradi mbalimbali ya umeme iliyopo Wilayani Ubungo.  Katika ziara hiyo miradi iliyotembelewa ni mradi wa umeme wa  Kibesa uliopo kata ya Mbezi, mradi wa Derlini uliopo kata ya Kibamba, King'azi uliopo kata ya Kwembe, Msumi uliopo kata ya Mbezi. apata malalamiko ya wananchi wa kibamba  umeme umekua  ukikatika mara kwa mara ni agize TANESCO muhakikishe mnazingatia ilo sitaki kusikia tena malalamiko aya kwa watu wa Kibamba"* alisema Naibu Waziri Mpaka ifikapo disemba  kama mlivyonihakikishia muwe mumetimiza ahadi yenu, maeneo yote ya Kibesa na sehemu ambazo mmehaidi kutimiza kazi yenu iwe ipasavyo, mpaka krismas watu hawa wawe wamepatiwa umeme katika maeneo yao.

Naomba niagize  ifikapo muda mlioniahidi ntafika apa na dhumuni langu ni kukaa na watu hawa na kusherekea nao wakiwa wanatumia umeme katika nyumba zao, agizo la Mhe.Rais ni kuhakikisha Watanzania hawa wanaishi katika mazingira mazuri na umeme ni moja ya nishati inayotumika kwa kila mtu katika majumba yetu na kwa kuhakikisha ilo muweke umeme katika maeneo yote tuliyopita na mmehaidi mtawawekea umeme  mpaka ifikapo disemba, isiwe kinyume na ahadi mliyotoa. alisema Waziri wakati akitoa maagizo kwa wafanya kazi wa TANESCO.   Nina washa umeme apa leo naomba nisisikie kuwa umeme unakatikakatika iwe mfano alisema ayo  Mhe. Naibu Waziri *Wakati akitembelea eneo la Msumi B na kufanya uzinduzi wa nyumba ambayo imeingizwa umeme*  ni moja ya nyumba ya mwanachama wa saccos ndg. Shirima anayeishi eneo la Msumi B.

Nae Mkuu wa wilaya ya Ubungo Mhe.Kisare Makori ameshukuru ujio wa Mhe.Naibu Waziri katika Wilaya Ubungo kwani umekuja kutatua changamoto wanazozipata watu  na kushukuru kwa *Mhe.Rais Dr.JOHN POMBE MAGUFULI* kwa uongozi wake wa awamu ya tano wenye kasi ya kufanya kazi na viongozi kujituma ipasavyo.


Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.