• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

ZIARA YA WAZIRI WA MIPANGO NA UWEKEZAJI KATIKA KITUO KIKUBWA CHA BIASHARA NA LOGISTIKI AFRIKA MASHARIKI

Posted on: September 18th, 2023

Waziri Ofisi ya Raisi Mipango na  Uwekezaji Mhe.Kitila Mkumbo amefanya ziara katika kituo kikubwa cha  Biashara na Logistiki Afika Mashariki (East Africa Commercial and Logistic Center) kinachojengwa ilipokuwa stendi ya zamani ya mabasi Ubungo kujionea hali ya mradi na hatua za mradi ulipofikia 

Katika Ziara hiyo iliyofanyika  tarehe 18 septemba, 2023 Mkumbo alisema kuwa uwepo wa kituo hiko cha kibiashara utaleta manufaa makubwa kwa watanzania ikiwemo upatikanaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi ambapo baada ya kukamilika kwa mradi huo  watanzania watapata bidhaa hapa hapa Tanzania kupitia kituo hicho

Aliendelea kwa kusema kuwa, Kitakua ni kituo kikubwa cha biashara kwa  afrika mashariki na  jangwa la sahara na pia Kupitia kituo hicho cha biashara kitaongeza mauzo ya bidhaa zetu kwenda nje ya nchi

"Hiki ni kituo muhimu kwa biashara na uwekezaji na pia niwatoe hofu wafanyabiashara wa kariakoo uwekezaji huu hautaenda kuharibu biashara zao". Alisisitiza Mkumbo

Na kituo hiki kikikamilika kitasaidia suala la ajira ambapo ajira za moja kwa moja zitakua 15,000 na zisizo za moja kwa moja ni 50,000. Alisema hayo Mkumbo

Niagize Halmashauri ikatoe ushirikiano kuhakikisha mradi huu unakamilika kwa wakati kwani mapato yatakayopatikana yatasaidia Serikali yetu katika shughuli za maendeleo.

Nae, Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Hashim Komba amemshukuru Mheshimiwa Rais  wa Jamuhuli ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan  kwa kazi kubwa anayofanya  katika nchi yetu ya Tanzania  na kusaidia uchumi  watanzania unazidi kukua

Aliendelea kwa kusema kuwa , Wilaya ya ubungo itaendelea kutoa ushirikiano kuhakikisha  mradi huu unakamilika kwa wakati


Aidha, Bi. Cathe Wang Mkurugenzi Mkuu wa kituo hicho akiwasilisha taarifa ya mradi  huo amesema kuwa kituo hicho kitajengwa kwa gharama ya jumla ya dola za kimarekani milioni 118 sawa fedha za kitanzania bilioni 271.


Waziri Ofisi ya Raisi Mipango na Uwekezaji  Mhe. Kitila  Mkumbo  akiwa na viongozi wakikagua maeneo mbalimbali ya majengo yanayojengwa katika kituo kikubwa cha biashara Afrika Mashariki 






















Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.