UVUVI
Uvuvi ni moja ya shughuli zinazowaletea kipato wananchi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo ni sekta inayotoa ajira, lishe,riziki kwa wananchi jamii na mapato kwa Manispaa ya Ubungo
Asilimia kubwa ya ufugaji wa Samaki katika Manispaa ya Ubungo hufanyika kwenye mabwawa ya kutengenezwa na wananchi.
wananchi wa Manispaa ya Ubungo hujihusisha na shughuli hizi za ufugaji wa samaki kutokana na umuhimu wake kiuchumi kwa sasa kuna waswtani wa Mabwawa ya kufugia samaki 80 ambayo yanapatikana zaidi katika kata za Mbezi,Msigani, Kibamba, Goba,na Kwembe samaki wanaofugwa zaidi katika mabwawa hayo ni Sato/ Perege zaidi ya wadau 130 wanamiliki bucha za Samaki katika Manispaa ya Ubungo.
Bucha za Samaki zipo zaidi katika kata za Sinza, Makuburi, Mbezi, Mabibo, Mabibo, Msigani, Goba na Manzese.
Kibamba Area, Morogoro Road
Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam
Telephone: +255 22 2926341
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: md@ubungomc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa