Hizi ni leseni zinazoruhusu kufanya biashara ya kuuza vileo mwombaji anapaswa kujaza fomu ya maombi ya vileo inayotokana na sheria ya vileo namba 38 mwaka 1968 hivyo mwombaji anatakiwa
kujaza yafuatayo:
1.Jina la biashara kama sio mtu binafsi (certificate for incorparation or registration)
2.Ushaidi wa Maandishi kuwa ana mahala pa kufanyia kazi(mfano hati ya nyumba mkataba wa upangishaji risiti za malipo ya kodi za majengo au ardhi)
3.Fomu ya maombi iliyopitishwa katika kata unayotoka
4.Hati ya kujiandikisha kama mlipa kodi TIN Number
5.Fomu ya maombi iliyokamilika na kupitishwa na ofisi ya afya mipango miji na biashara za Halmashauri
Kibamba Area, Morogoro Road
Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam
Telephone: +255 22 2926341
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: md@ubungomc.go.tz
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa