• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

BANK YA DUNIA YARIDHIKA NA UTEKELEZAJI WA MRADI WA SHULE YA DAR ES SALAAM GIRLS

Posted on: March 18th, 2024

Nimefurahi kuja katika Shule hii nimejifunza mambo mengi na ninawaona watoto wa kike kutoka katika Shule hii wakifanikiwa na kuwa wanasayansi wakubwa wa baadae

Hayo yameelezwa  tarehe 18 march, 2024 na Muna Sulih Meky  Mkurugenzi wa elimu kutoka bank ya dunia alipotembelea katika Shule Maalumu ya Wasichana ya Dar es Salaam Girls kujionea utekelezaji wa mradi kwa awamu ya kwanza na ya pili  kwa lengo la kuja na mpango ambao utaweza kusaidia maboresho mengine kufanyika na kusaidia mradi huo kukamilika.

Muna aliendelea kwa kueleza kuwa ujio wao ni kwa ajili ya  kupokea yale ambayo yanahitajika na kama bank ya Dunia  itakuja na mpango ambao utaboresha katika upande wa ICT na pia wataleta vitabu ambavyo vitawasaidia wanafunzi kusoma na kufikia malengo yao 

Aidha Bank ya Dunia wamesema kuwa katika mpango ujao utahakikisha ujenzi wa shule Maalumu kwa ajilii ya watoto wa kiume unatekelezwa.

"Walimu mna jukumu kubwa la kuwafundisha wanafunzi Hawa waweze kufikia malengo yao kama nilivyowasikia wengi wanahitaji kuwa madaktari". Alisisitiza MunaNae Richard Makota Mratibu wa Maradi wa SEQUIP ngazi ya Wizara amesema kuwa Dar es salaam Girls ni moja kati ya Shule 26 ambazo zimejengwa kutokana na fedha za SEQUIP nchini.

Diwani wa Kata kwembe Mhe.Nicholaus Lumbugu amewashukuru bank ya Dunia  kwa kuja na kujionea utekelezaji wa  mradi huo ambao utakapokamilika utatengeneza kizazi chenye watoto wa kike wasomi wakubwa kwa taifa

Nae, Kaimu Mkurugenzi ambaye pia ni Mkuu wa Idara ya elimu Sekondari Manispaa ya Ubungo Voster Mgina alielezea mradi huo kutoka hatua ya awali mpaka ulipofikia Sasa na  kuwashukuru bank ya Dunia kwa kufika na kujionea hatua ya mradi huo ulipofikia na kuwaahaidi Ubungo itaendelea kuonyesha ushirikiano kati yao kwa manufaa ya maendeleo ya Shule hiyo 

Halikadhalika, akishukuru kwa niaba ya wanafunzi Dada Mkuu wa Shule Eva Ngoli ameishukuru benki ya Dunia kwa kuja kusaidia Serikali  ya Tanzania  na kuwaahidi watasoma kwa bidii ili kufikia malengo.









Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa