• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

CLINIK YA ARDHI NDANI YA UBUNGO HATI PAPO HAPO

Posted on: November 13th, 2023

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry  Silaa, amezindua rasmi zoezi la utoaji hati  milikiza ardhi papo kwa papo kwa kutumia njia ya kielektroniki  katika wilaya ya Ubungo Novemba 13, 2023

Uzinduzi huo umefanyika katika viwanja ya Stop over Kimara Wilayani humo na Mhe. Silaa  ambapo amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi  kupata huduma hiyo inayotolewa na Manispaa ya Manispaa ya Ubungo kwa kushirikiana na wizara ya ardhi na maendeleo ya makazi lengo ikiwa ni kuhakikisha  kila mwananchi anayestahili kupata hati anapata papo kwa papo na zoezi hilo sio kwa wananchi wa Ubungo pekee bali wananchi wote wa maeneo mbalimbali kutoka katika Mkoa wa Dar es Salaam

Zoezi hili la Urasimisha wa umiliki wa ardhi ni Sehemu ya mradi wa Uboreshaji  Usalama wa Milki za Ardhi unaofadhiliwa na Benki ya Dunia na jumla ya hati 3419 zinatarajiwa kutolewa katika zoezi hilo litakalofanyika kwa muda wa siku 25.

Aidha, Mhe. Silaa amesema kupitia mradi huu Serikali imepunguza kwa 50% gharama za kupima na kuandaa hati  hivyo Serikali inatarajia wananchi wote wanaostahili kumilikishwa ardhi wanamilikishwa ili kuwa na usalama wa ardhi zao.

Nae. Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg Elias Ntiruhungwa  amemshukuru Mhe. Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt.Samia suluhu Hassan kwa kutafuta fedha za mradi huu muhimu kwa maendeleo ya wananchi maana ardhi ikipimwa na kuwa na hati thamani yake pia inapanda.

Ntiruhungwa ameeleza kuwa Manispaa ya Ubungo kwa mwaka fesha 2023/2024 imetenga shilingi bilioni 1.9 kwa ajili ya upimaji hivyo tunashukuru serikali kuja na mpango huu unaofadhiliwa na benki ya dunia utawezesha maeneo yote kupimwa na kupatiwa hati miliki kwani wananchi wamepokea zoezi kwa furaha.

Sylvester Mgina ni mmoja ambaye amepata hati yake leo kwenye zoezi hilo anasema amefurahishwa na mpango huu kwani amepata hati yake kwa muda mfupi na anarejera kwenye majukumu yake, ameshauri Serikali zoezi hili lifanyike nchi nzima ili wananchi wamiliki ardhi kihalali lakininpia serikali itakusanya mapato ya kutosha.

Mradi wa uboreshaji usalama wa Milki za ardhi (LTIP) unalenga kutatua changamoto zote zinazokabili urasimisha

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa