• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

DC KHERI ATOA MAELEKEZO KWA MAKAMPUNI YA URASIMISHAJI

Posted on: September 10th, 2021

Yatakiwa kukamilisha kazi hiyo mapema

Wananchi wamechangia Jumla ya shilingi  bilioni 9.4 kwa ajili ya upimaji

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mheshimiwa Kheri James amekutana na Makampuni ya Upangaji na Upimaji ardhi katika Wilaya hiyo ili kujadili changamoto zinazoyakabili makampuni hayo na kutoa maelekezo ya   kukamilisha zoezi hilo kwa wakati ili wananchi waweze kumilikishwa maeneo yao.

Mkuu wa Wilaya ameamua kufanya kikao hicho kutokana na wananchi wengi wa Wilaya hiyo  kutoridhishwa na mwenendo wa utendaji kazi wa makampuni hayo licha ya kuchukua *fedha kwa  wananchi shilingi bilioni 9.4 kwa ajili ya  kugharamia upimaji

Kutokana na hali hiyo, Mhe.Kheri ameyasisitiza makampuni hayo kufanya kazi  kwa haraka na  weledi  huku wakizingatia mikataba ya kazi yao ili mchakato wa utoaji hati ufanyike na wananchi wamilikishwe maeneo yao kwa mujibu wa sheria

"Kama Serikali ilivyowaamini na kuwapa kazi basi tunzeni hedhima hiyo Kwa kuhakikisha mnakamilisha mchakato wa urasimishaji ili Wananchi wapate hati miliki za maeneo yao" Mhe. Kheri

Akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa miradi  ya urasimishaji  katika  Wilaya, Afisa Ardhi wa Manispaa ya Ubungo Fadhili Hussein ameeleza kuwa wilaya *ina Jumla ya makampuni 19 ya upangaji na 18 ya upimaji yanayotekeleza kazi za urasimishaji katika Mitaa 60 ndani ya kata 11

Aidha, ameendelea kueleza kuwa Jumla ya viwanja *176,350* vilianishwa huku viwanja  vilivyopimwa na kuidhinishwa  ni  17,776

 Sawa na  asilimia 10  tu ambapo wananchi wamechangia shilingi mbilioni 9.4 Kwa ajili ya zoezi hilo.


Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa