• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

IDARA YA AFYA UBUNGO YAWAHAMASISHA WENYEVITI WA MITAA UMUHIMU WA WAJAWAZITO KWENDA KLINIKI

Posted on: April 9th, 2024

Mapema  April 9, 2024 idara ya afya Manispaa ya Ubungo imekutana na wenyeviti wa mitaa yote 90 ya Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo lengo ikiwa ni kuwahamasisha kushiriki shughuli mbalimbali zinazohusu masuala ya afya hasa wajawazito kuanza kliniki mapema chini ya miezi mitatu (Wiki 12) kuanzia katika ngazi ya jamii katika mitaa yao pia usafi wa mazingira ili kuepuka magonjwa ya mlipuko

Akiongea wakati wa ufunguzi wa kikao hicho mgeni rasmi mganga mkuu wa Manispaa ya Ubungo Dkt. Tulitweni Mwinuka amewapongeza wenyeviti hao kwa kufika kwenye kikao hicho huku akiweka wazi kuwa wenyeviti wa mitaa ndo nguzo kubwa ya mawasiliano na uhamasishaji wa masuala ya afya kwenye mitaa yao, hivyo wana umuhimu mkubwa kwenye uboreshaji wa afya za wananchi

"Niwaombe wenyeviti muende mkahamasishe wananchi wenu umuhimu wa mama mjamzito kuanza kliniki mapema kwaajili ya kulinda afya ya mama na mtoto, lakini pia mkashirikiane vema na maafisa afya pamoja na wahudumu wa afya ngazi ya jamii ili kwa pamoja tukomeshe ulipukaji wa magonjwa kama kipindupindu" alisema Mwinuka

Nae mratibu wa afya ya uzazi na mtoto Manispaa ya Ubungo Rehema Panga amesema kuwa, kwa mwaka 2023 Manispaa ya Ubungo wajawazito 22,381 walijifungua, vifo vya wazazi vilikua 7, vifo vya watoto wachanga vilikua 24 na watoto waliofia tumboni walikua 278. Twendeni tukahamasishe wajawazito kuanza kliniki mapema ili kwa pamoja tukomeshe utokeaji wa vifo vya mama na mtoto

Kwa upande wa mwenyekiti wa wenyeviti wa mitaa Manispaa ya Ubungo Mama Sophia Fitina amechukua fursa hiyo kuwashukuru idara ya Afya Manispaa ya Ubungo kwa uamuzi wao wa kuwaita wenyeviti na kuona umuhimu wa nafasi yao katika kuboresha afya za wananchi, aidha wenyeviti wameyapokea mafunzo hayo na kuahidi kwenda kuongeza hamasa kwa kuwashirikisha wananchi wao

Manispaa ya Ubungo ina jumla ya vituo vya kutolea huduma za afya 268, vituo vya serikali 22, vituo vya watu binafsi 246, vituo vinavyotoa huduma ya afya ya uzazi na mtoto ni 86 huku vituo vinavyotoa huduma ya uzazi salama vikiwa 29





Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa