• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

KAMATI YA SIASA WILAYA YA UBUNGO YAFURAHIA MIRADI INAYOTEKELEZWA NA MANISPAA YA UBUNGO

Posted on: June 19th, 2020

 Kamati ya siasa Wilaya ya Ubungo imefanya ziara yake kukagua miradi ya maendeleo katika Wilaya hiyo tarehe 19/06/2020.

Katika ziara hiyo iliyoongozwa na Mwenyekiti wa Chama Wilaya ya Ubungo Ndg.Lucas Mgonja, Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe.Kisare Makori, Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Beatrice Dominic na kuhudhuriwa na Katibu tawala wa Wilaya ya Ubungo Ndg.James Mkumbo na viongozi mbalimbali wa chama cha Mapinduzi, Vyama rafiki vya upinzani na Wataalam kutoka Manispaa ya Ubungo.

Katika ziara hiyo Miradi iliyotembelewa ni Mradi wa ujenzi wa barabara ya Shekilango, Mradi wa ujenzi wa kingo za mto Ng'ombe kilomita 8.5 na Mto kiboko kilomita 3.5, Mradi wa ujenzi wa daraja la juu Ubungo (Flyover), Mradi wa ujenzi wa mabanda 7 ya wajasiriamali Mbezi luis uliopo Kata ya Mbezi na Mradi wa ujenzi wa Zahanati ya Amani iliyopo Kwembe na dhumuni kuu likiwa ni kuona maendeleo ya miradi hiyo.

Aidha viongozi wa Chama Wilaya walipongeza juhudi ambazo zimefanywa na Wataalam waliopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Ubungo kwa usimamizi mzuri wa miradi.

"Napenda kumshukuru raisi wetu wa awamu ya tano Dr.John Pombe Magufuli kwa maendeleo ambayo amefanya katika Wilaya yetu ya Ubungo na Tanzania kwa ujumla kwa kuboresha maendeleo ya wananchi wote"  Alisema Mkuu wa Wilaya.

Sambamba na hilo  Mkuu wa Wilaya alivishukuru vyama rafiki vya upinzani kwa heshima waliyoitoa na kuungana na uongozi wa Wilaya na Kamati ya siasa CCM ya Wilaya.

Pia Mkuu wa Wilaya aliwahakikishia wajumbe kuwa miradi ambayo walishindwa kufika imeakisi miradi ambayo imetembelewa.

Nae Mwenyekiti wa ACT wazalendo Wilaya kwa niaba ya vyama vingine aliushukuru uongozi wa Wilaya ya Ubungo ukiongozwa na Mkuu wa Wilaya kwa ushirikishwaji wao.

"Niseme wazi Wilaya ya Ubungo ni Wilaya ya kuigwa kwani ndio ya kwanza kushiriki kwenye ziara ya kutembelea miradi na vyama vingine." Alisisitiza Mwenyekiti wa ACT

Aliongeza kwamba vyama vya upinzani vipo tayari kushirikiana na vyama vingine kwa maslahi ya Taifa.

Wakati akifunga Mwenyekiti wa CCM Wilaya alimpongeza Mkuu wa Wilaya na Wakuu wa Idara kwa kazi nzuri wanayoifanya kutekeleza miradi.

"Niwaombe wakati wa kupiga kura kumchagua Rais wote tukampigie kura John Pombe Magufuli kwa maendeleo ya Taifa letu na kwa kuzingatia Rais wetu kila siku anasisitiza maendeleo hayana chama."


Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa