• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

KAMATI YA USHAURI YA WILAYA (DCC) YASHAURI UANZISHWAJI WA MIRADI MKAKATI

Posted on: January 26th, 2022


Kamati ya Ushauri ya Wilaya ya Ubungo (DCC) imeishauri Wilaya hiyo kuwa na mpango wa kuanzisha miradi mkakati itakayolenga kizalisha ajira na kukuza uchumi wa wananchi 


Hayo yameelezwa na wajumbe wa kamati hiyo katika kikao cha kujadili na na kupitisha makadilio ya mpango na bajeti kwa mwaka wa fedha 2022/2023 ambapo Halmashauri hiyo imejipanga kukusanya Tsh bilioni 105.8 kwa ajili ya matumizi ya kawaida na miradi ya maendeleo.


Akichangia kwenye kikao hicho Mh Mbunge wa Jimbo la Ubungo Kitila Mkumbo ameeleza kuwa ni vyema fedha za mfuko wa mkopo kwa wanawake, vijana na watu wenye ulemavu zikatumike kwa ajili ya kusaidia vijana wengi na watu wa makundi hayo wanapata ajira za kudumu.


“Kuliko kutoa bilioni 1.1 kwa kuyapa makundi hayo mkopo ni vyema fedha hizo zikatumike katika ujenzi wa viwanda, mfano kwa mwaka huu wa fedha Halmashauri inatarajia kutoa mkopo wa Tsh bilioni 1.1 kwa wanawake, vijana na watu wenye ulemavu fedha hii ingeweza kujenga kiwanda ambacho kingeweza kuongeza ajira kwa wananchi pamoja na kuisaidia Halmashauri kuongeza mapato kupitia kiwanda hicho”. Alisema Kitila Mkumbo.


Kutokana na Ubungo kuwa ni kitovu cha elimu basi ijengwe maktaba kubwa ya kisasa ambayo itaenda kusaidia wanafunzi kujisomea lakini pia kuongeza mapato kwa Manispaa.


Aidha viongozi wa vyema rafiki vya  siasa wamempongeza DC kwa jinsi anavyotekeleza majukum yake kwa weledi na mambo yanakwenda vizuri.


Nae Mstahiki Meya wa Manispaa hiyo Mh Jaffary Juma Nyaegesha amewapongeza wajumbe wa Kikao hicho lakini pia amesema Manispaa ipo tayari  kuyapokea maoni na mapendekezo yote yaliyotelewa.


Katika mwaka wa fedha 2022/2023 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo inatarajia kukusanya/kupokea  fedha kiasi cha Tsh bilioni 105.8 kati ya fedha hizo Tsh bilioni 77.3 ni ruzuku kutoka serikali kuu, Tsh bilioni 26.5 ni fedha za makusanyo ya ndani ya Halmashauri, Tsh bilioni 1.3 ni fenda za wafadhili na Tsh milioni 6.3 ni mchango wa wananchi.




Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa