• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MANISPAA YA UBUNGO YATOA MILIONI 100 KWA AWAMU YA KWANZA YA UBORESHAJI WA SOKO LA SIMU 2000. VIBANDA VIPYA NA VYA KISASA 250 KUJENGWA

Posted on: May 5th, 2023



Leo Mei 5, 2023 jitihada za kuwakwamua wafanyabiashara wadogo wadogo katika Manispaa ya Ubungo zimechukua sura mpya kufuatia kukabidhi hundi ya shilingi milioni 100 kwa wafanyabiashara wa soko la Simu 2000 ambazo zimelenga kwenda kufanya maboresho makubwa kulingana na mahitaji ya wafanya biashara hao.


Hafla hiyo imefanyika mapema leo katika eneo la kituo cha daladala cha Simu 2000 ambapo mgeni rasmi wa hafla hiyo alikua ni mkuu wa wilaya ya Ubungo Mhe. Hashim Komba.

Mapema akitoa salamu za chama cha Mapinduzi, Mwenyekiti wa chama hicho wilaya ya Ubungo Ndugu Rogat Elias Mbowe ameupongeza uongozi wa Manispaa ya Ubungo kwa kutekeleza kwa vitendo ilani ya chama cha Mapinduzi CCM 2020 - 2025 inayolenga kuwainua wafanyabiashara wadogo kwa kuwajengea mindombinu ya kisasa.


Nae mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndugu Beatrice Dominic amewaeleza wafanyabiashara hao kuwa Serikali ina nia thabiti ya kuendelea kuimarisha miundombinu mbalimbali ya masoko kwa Manispaa ya Ubungo hivyo waendelee kuipa ushirikiano wa dhati. Aidha ameishukuru serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuleta fedha nyingi za miradi ya maendeleo kwa Manispaa ya Ubungo.


Akiongea mbele ya hadhara hiyo, mgeni rasmi wa hafla hiyo mkuu wa wilaya ya Ubungo Mhe. Hashim Komba amempongeza mkurugenzi wa manispaa ya Ubungo pamoja na timu yake ya wataalamu kwa utendaji wao mzuri.

Pia ametoa maagizo kuwa baada ya kukamilika kwa ujenzi huo, uongozi uhakikishe wafanyabiashara waliosubiri mchakato wa maboresho kukamilika ndo wawe wa kwanza kupewa vibanda.

"Serikali ya Dkt. Samia Suluhu Hassan inataka kuona mabadiliko chanya kwa wafanyabiashara wadogo wadogo. Miundombinu hii mkaitumie vizuri kujiongezea kipato na kuchangia pato la serikali kwa uaminifu mkubwa, na huo ndio uzalendo wa kweli" alisema Komba


Vile vile ametoa rai kwa wafanyabiashara wanaofanya biashara zao katika maeneo yaliyokatazwa kuwa ni vema walinde mitaji na biashara zao kwa kufanya biashara katika maeneo yaliyorasimishwa.


Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa