• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MANISPAA YA UBUNGO YAZINDUA KAMPENI KABAMBE YA MAPATO KUPITIA MITANDAO YA KIJAMII.

Posted on: May 5th, 2022

Manispaa ya Ubungo imezindua kampeni ya masuala ya ulipaji wa ushuru, leseni, tozo, kodi na ada mbalimbali, kampeni ambayo itafanyika kwa muda wa mwezi mmoja kuanzia tarehe 05/05/2022 hadi tarehe 05/06/2022 ambayo itafanyika kupitia mitandao ya kijamii (Instagram, Facebook, Twitter, Youtube na Clubhouse) yenye jina la ‘ubungomanispaa’ lengo kubwa ikiwa ni kujenga uelewa na umuhimu juu ya ulipaji kodi, ada, ushuru na tozo mbalimbali za Manispaa.

Akifanunua katika kampeni hiyo Afisa Habari wa Manispaa hiyo ndugu Joina Nzali amesema Manispaa imeamua kuanzisha kampeni hii kwa njia ya mitandao ya kijamii ili kutoa fursa kwa wananchi na wafanyabiashara kushiriki kikamilifu kwa kupata elimu, kuuliza maswali, kufanya mijadala na kupata ufafanuzi wake, kutoa ushauri na kuhamasisha jamii kwa ujumla kuhusu ulipaji wa kodi mbalimbali za Manispaa.

Aidha, Nzali amewataka wananchi na wafanyabiashara wote kushiriki kwenye kampeni hii kwa kufatilia katika mitandao ya kijamii (instagram, twitter, Clubhouse na youtube) kwa jina la Ubungo Manispaa ili kupata nafasi nzuri ya kujenga uelewa wa pamoja juu ya kampeni hii kati ya serikali na wafanyabiashara kwa maeneo mbalimbali ndani ya Manispaa ya Ubungo.

Kwa upande wake Afisa biashara wa Manispaa hiyo ndugu Peter Ngoti ameeleza kuwa ada, tozo, ushuru na kodi ni moja ya vyanzo vya mapato ya Manispaa ambapo wananchi ndio wachangiaji wakubwa wa mapato hayo kutokana na biashara zao na hivyo kusaidia Manispaa kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo shule, vituo vya afya miundombinu ya barabara na nyinginezo.

Aidha Ngoti ametoa elimu kwa wananchi juu ya ufahamu na ulipaji wa mapato na kuwasihi kuacha kusikiliza taarifa zisizo rasmi juu ya ulipaji wa mapato kutoka kwa wapotoshaji wa mitaani (vishoka).

Akiongea Mgeni rasmi wa uzinduzi huo Ndugu Zacharia Kimaro ambae ni meneja wa kampuni ya Musa Investiment automotive amesema anaipongeza Manispaa kwa kampeni hii ambayo italeta tija kwa wafanyabiashara endapo watachangia mapato kwani kwa kufanya hivyo watakuwa huru katika kufanya biashara zao ikiwa ni pamoja na kupata fursa mbalimbali na amewataka wafanya biashara wote kulipa mapato yote ya Manispaa kwa hiari kwani kwa kufanya hivyo Manispaa itaweza kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo.



 

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa