• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MARUFUKU MICHANGO ISIYO NA KIBALI MASHULENI

Posted on: January 29th, 2024

Wakuu wa Shule, Walimu Wakuu na Waratibu Elimu Kata wametakiwa kuimarisha mahusiano mazuri mahali pa kazi ili kuepuka migogoro, kuhujumiana na kupunguza ari ya utendaji kazi mambo yanayopelekea utoaji wa huduma kuwa chini ya kiwango.

Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Hashim Abdallah Komba kwenye kikao kazi na Maafisa elimu, Wakuu wa Shule, Walimu wakuu, Waratibu Elimu Kata kilichofanyika leo tarehe 29/01/2024 katika ukumbi wa mikutano wa Manispaa ya Ubungo.

Mhe. Komba ameendelea kusistiza kuwa Kama viongozi katika Shule zao wanapaswa kufanya vikao vya mara kwa mara ili kusikiliza na kutatua kero za walimu pamoja na  kuimarisha ushirikishwaji wa masuala ya uendeshaji wa Shule, kwani walimu wote wana haki ya kujua kinachofanyika shuleni lakini pia kukumbushwa wajibu wao.


" Imarisheni mahusiano, jengeni utamaduni wa kusikiliza matatizo ya walimu wenu na kuyatatua, na kuwashirikisha mambo yote yanayoendelea shuleni, hii itapunguza manung'uniko na Malalamiko kwa walimu" alisema Mhe. Komba.

Aidha, Mhe. Komba ametumia kikao hicho kuwataka

Walimu Wakuu na Wakuu wa Shule kuacha mara moja uchangishaji wa michango isiyo na kibali  katika Shule zao mpaka pale mwongozo wa kiwilaya utakapotangazwa rasmi kwani michango hiyo imekuwa kero kubwa  kwa wazazi na walezi. 

Pia amewataka Waratibu Elimu Kata kutekeleza majukumu yao kwa kusimamia miongozo ya Serikali katika utoaji wa elimu na wahakikishe michango isiyo na kibali wala tija kwa wananchi iachwe mara moja.

Manispaa ya Ubungo ina jumla ya wanafunzi 147,186 kati yao wanafunzi 105,983 ni wa Shule za Msingi na wanafunzia  41,203 ni wa Shule za sekondari.


Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa