• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MDAU WA MAENDELEO ATOA MADAWATI 20 SARANGA

Posted on: February 9th, 2024

Manispaa ya Ubungo tarehe 09/02/2024 imepokea msaada wa madawati 20 kutoka kwa mdau Dr. Agnetha Mhenga ambayo yamekabidhiwa katika Shule ya Msingi Saranga iliyopo Kata ya Saranga.

Akiongea wakati wa kupokea madawati hayo kwa niaba ya Mkurugenzi wa Manispaa hiyo Denis Nyoni Afisa elimu Msingi wa Manispaa amesema amefurahishwa na msaada wa madawati hayo ambayo kwa kiasi kikubwa yatapunguza changamoto ya uchache wa madawati katika Manispaa hiyo.

Nyoni ameendelea kueleza kuwa Manispaa ya Ubungo inauhitaji wa madawati zaidi ya elfu 10 hadi sasa yaliyopo ni madawati elfu 5 na madawati mapya ambayo yanaendelea kutengenezwa na Manispaa hiyo ni madawati elfu 4 ambayo yatagaiwa katika Shule mbalimbali za Msingi ndani ya Manispaa hiyo.

Sambamba na hayo Nyoni amewataka wanafunzi wa Shule hiyo kutunza madawati hayo huku akiwataka walimu kuongeza jitihada za ufundishaji ili kuweza kuongeza ufaulu kwa wanafunzi wa Shule hiyo.

Kwa upande mdau aliyetoa madawati hayo Dr. Agetha Mhenga amesema yeye binafsi ameguswa kutoa madawati hayo baada ya kuona uhitaji wa madawati ndani ya Shule hiyo na kueleza mpango wake wa kufungua NGO ambayo itamuwezesha kutoa misaada zaidi ya madawati kwa Shule mbalimbali Nchini.

“Mimi pia nimesaidiwa na watu hadi hapa nilipofikia japo sina kikubwa cha kutisha ila nitatumia hiki kidogo nilichonacho kurudisha kwa jamii, mpango wangu ni kuwa na ‘foundation’ itakayoniwezesha kutoa misaada zaidi kwa jamii huu ni mwanzo pokee hiki kidogo naahidi kutoa zaidi hapo mbeleni” alisema Mhenga.

Akishukuru msaada huo kwa niaba ya wananchi wa Kata ya Saranga Mhe. Laizer ametoa wito kwa jamii kuiga mfano huu wa kurudisha kwa jamii kama ambavyo amefanya Mhenga kwani Serikali pekee haiwezi kutatua changamoto zote kwa wakati mmoja.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa