• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MKUU WA MKOA WA MOROGORO ATEMBELEA BANDA LA UBUNGO

Posted on: August 5th, 2023

Mhe. Adam Malima Mkuu wa Mkoa wa Morogoro tarehe  05/08/2023 ametembelea Banda la Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo ndani ya viwanja vya J. K Nyerere Mkoani ikiwa ni muendelezo wa sherehe za maonesho ya nanenane 2023 yanayoenda sambamba na kauli mbiu isemayo “vijana na wanawake ni msingi imara wa mfumo endelevu wa chakula”

Akiwa ndani ya Banda la Halmashauri hiyo Mhe. Malima ametembelea wajasiriamali walioshiriki maonesho hayo ndani ya banda hilo sambamba na kukagua vipando vilivyopandwa na Manispaa hiyo.

Akiongea baada ya ukaguzi huo Mhe. Malima ameipongeza Manispaa ya Ubungo kwa namna ambavyo wameshiriki maonesho hayo na kuweza kiitafsiri kauli mbiu  kwa vitendo kutokana na mazuri aliojionea ndani ya hilo

Malima ameendelea kueleza kuwa Serikali imeweka fursa nyingi kwenye masuala ya kilimo sasa ni wakati wa watanzania kutumia fursa hizo kwa kufanya kilimo chenye tija kinachozingatia sheria, kanuni na taratibu na kuacha kulima kwa mazoea kwani ndipo kunapelekea shughuli ya kilimo kuwa ni ya kimaskini.

Aidha, Malima amewaasa vijana wenye ndoto za kuwa wakulima kujiunga na vikundi mbalimbali vinavyojihusisha na kilimo na kubadili mtazamo wa kuona kuwa ukulima ni umaskini na amewataka wataalamu wa kilimo kuendelea kutoa elimu, kuhamasisha na kuwaeleza vijana juu ya mausala na fursa mbalimbali za kilimo.

Ikumbukwe kuwa maazimisho  kwa mwaka huu 2023 yanaazimishwa Kitaifa Mkoani Mbeya na kwa kanda ya Mashariki yanafika Mkoani Morogoro ndani ya viwanja vya J.K Nyerere.

Tembelea banda la Halamashauri ya Manispaa ya Ubungo ujifunze masuala ya kilimo, mifugo na uvuvi pamoja na elimu ya ujasiriamali upate kujionea na mengi mazuri yaliyoandaliwa na wataalamu wa Ubungo.

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Adam Malima akikagua banda la samaki wa mapambo lililopo katika banda la  Manispaa ya Ubungo katika maonyesho ya nanenane morogoro















ReplyForward






Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa