• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MKUU WA WILAYA YA UBUNGO AONGEA NA MADEREVA WA BODABODA KWA AJILI YA KUPAMBANA NA KORONA

Posted on: May 15th, 2020

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Kisare Makori  ameongea na madereva wa bodaboda na kutoa  vitendea kazi (reflector) kwa madereva ambao watakuwa ni wawakilishi katika zoezi zima la kupambana korona kwa kutoa elimu vijiweni na kwa wateja wananchi waliowazunguka kuhusiana na ugonjwa huo.

Wakati wa tukio hilo aliambatana na Katibu tawala wa Wilaya ya Ubungo Ndg.James Mkumbo na Mganga Mkuu wa Manispaa ya Ubungo Dr. Peter Nsanya

Lengo kuu likiwa ni kuongea na wawakilishi wa madereva wa bodaboda  kwa kata zote 14 zilizopo Wilaya ya Ubungo ambao walipewa semina kuhusu mapambano dhidi ya homa kali ya mapafu korona ili wawe wawakilishi na watoa elimu kwa jamii kuhusu ugonjwa wa korona na namna ya kujikinga.

Aidha Mkuu wa Wilaya aliwaasa madereva hao wahakikishe wanashirikiana na wananchi kwa kuwapa elimu waliyopata ya jinsi ya kupambana na korona.

Tumshukuru Rais wetu kwa hatua ambazo amezichukua kupambana korona na ni muhimu kufuata maagizo ambayo yanatolewa na Serikali pamoja na Wizara ya Afya. aliongeza Mkuu wa Wilaya.

Nasikitika kuna baadhi ya  Wenyeviti ambao wanatumia nafasi zao vibaya kwa kutoa vibali vya mazishi kinyemela bila ya kufata maelekezo ya serikali juu ya sehemu ambazo zimetengwa kwa ajili ya maziko kwa ndugu zetu ambao wametangulia mbele za haki kwa magonjwa mbalimbali. Na nitumie fursa hii kuwaonya hata viongozi ambao wamekuwa wakisambaza taarifa za uongo kuhusu wahanga wa korona kinyume na utaratibu ambao Serikali imeuweka.  Alifafanua Mkuu wa Wilaya

Pia Mhe. Kisare alisisitiza tahadhari ziendelee kufuatwa na watu wawe makini na kufuata maagizo yanayotolewa kwa kunawa mikono kwa maji tiririka na sabuni na kuvaa barakoa.

Nae Katibu Tawala wa Wilaya ya Ubungo aliwashukuru madereva boda boda kwa ujio wao na kuwaomba wawe na mstari wa mbele katika mapambano dhidi ya korona.

"Na niwaombe muendelee kujitoa kwa ajili ya mambo mengine pia katika kusaidia na kuleta maendeleo ya Wilaya yetu." Alisisitiza Katibu Tawala

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa