• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

MRATIBU CHF UBUNGO ATOA ELIMUYA BIMA YA ICHF KWA MAWAKALA WA KITUO CHA MABASI CHA MAGUFULI

Posted on: January 24th, 2022


Mratibu wa CHF Manispaa ya Ubungo Leticia Meena atoa elimu ya bima ya Afya iliyoboreshwa  ICHF “Improved Community Health Fund” kwa mawakala wa mabasi wa Stendi Kuu ya Mabasi ya Magufuli Mbezi lengo ikiwa ni kusaidia kuboresha afya kwa wananchi ukizingatia magonjwa ni mengi na matibabu ni gharama. 

 Aidha Meena ameeleza kuwa Mpaka sasa ICHF ina wanachama 31,587 ambapo ni sawa kaya 11,774 sawa na 23.4% ambapo lengo ikiwa ni kuandikisha kaya 11,774 sawa na 30% na mkakati wao ni kuhakikisha elimu inawafikia wananchi wengi zaidi kwa kufanya mikutano ya mara kwa mara kupitia maeneo yenye mikusanyiko ya watu na kutumia vyombo vya habari ili kufanikiwa kupata wanachama wengi.

Meena amesema ICHF ni bima ya Afya iliyoboreshwa ambayo inaleta uhakika wa matibabu na kwamba bima hiyo inapatikana kwa mtu mmoja mmoja kwa kulipia tsh 40,000/= au kwa familia ya watu sita tsh 150,000/=  kwa mwaka mzima ambapo utapewa kadi ya mwanachama mara tu baada ya kulipia kwa kufika katika ofisi za mtendaji wa Mtaa au Kata au kwa kupiga simu kwa mratibu wa CHF kwa no 0713 21 09 55.

Aidha Meena ameelezea huduma zinazotolewa kwa wamiliki wa Bima ya CHF; Huduma za matibabu kuanzia Zahanati, Vituo vya Afya, Hospitali za Wilaya na Hospitali za Rufaa za Mikoa kokote Tanzania Bara, huduma zote za kumuona daktari, uchunguzi na dawa, huduma zote za kulazwa, upasuaji mkubwa na mdogo, huduma za afya ya kinywa na meno na huduma nyinginezo.

Aidha Afisa Ustawi wa Manispaa ya Ubungo Zainabu Masilamba amewaomba mawakala kusaidia kuzuia usafirishaji haramu wa watoto wadogo na watu wenye ulemavu  kitendo ambacho ni kinyume na sheria za haki za kibinadamu na endapo wapatato taarifa hizo wawasiliane nae simu no 0714 303518 na kuwataka wakemee sana kitendo hicho kwani watoto na walemavu hao wamekuwa wakienda kutumikishwa kinyume na sheria za haki za kibinadamu.


Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa