• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

NARIDHIKA NA NAMNA HUDUMA ZA AFYA ZINAVYOTOLEWA

Posted on: April 8th, 2025

Hayo yamesemwa  tarehe 8 aprili, 2025  na Mkuu wa Wilaya Ubungo Mhe.Lazaro Twange ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya afya Kitaifa na maadhimisho hayo yamefanyika katika viwanja vilivyopo katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo ambapo watumishi kutoka Idara ya Afya, Ustawi wa jamii na lishe Manispaa ya Ubungo  wametoa huduma mbalimbali za upimaji wa magonjwa bure na elimu ya masuala ya afya.

Akizungumza katika maadhimisho hayo Dc Twange, amewataka watoa huduma za afya kuendelea kufanya kazi kwa weledi zaidi kwani ongezeko la watu ni kubwa na uhitaji wa huduma za afya ni mkubwa zaidi

Vilevile Twange, amesema kuwa, Ubungo inajivunia maendeleo ya Sekta ya afya kutoka ilipokuwa awali na sasa iliivyoendelea kuimarika kwa utoaji wa huduma na ubora wa miundombinu.

Ubungo mpaka Sasa inajivunia uboreshaji wa miundombinu ya afya ambapo huduma za afya mpaka sasa zimeboreshwa ikiwemo uwepo wa Vifaa tiba, magari ya kubeba wangonjwa (ambulance). alisema hayo Dc Twange

Akizungumza katika tukio hilo, Mganga Mkuu Manispaa ya Ubungo Dkt.Tulitweni Mwinuka amesema kuwa, Idara ya afya kwa ujumla ina vituo vya afya 5 , zahanati 17 na hospitali 2, ambayo ni hospitali  ya Wilaya iliyopo Kimara Baruti na hospitali ya sinza na kliniki ya mama na mtoto iliyopo Msakuzi na vituo hivyo vya afya vinatoa huduma na hali ni nzuri na wataalam wa kutoa huduma wapo na wanaendelea na kazi. 

Kwa upande wa masuala ya usafirishaji Dkt. Mwinuka amesema kuwa kuna jumla ya magari manne (ambulance) ambazo zinatumika kubeba wagonjwa wa rufaa hivyo, Ubungo inajivunia maendeleo yanayoendelea kupatikana katika Idara ya afya, ustawi wa jamii na lishe katika Manispaa ya Ubungo

Na katika siku hiyo muhimu ya maadhimisho ya afya Kitaifa magonjwa mbalimbali yamepimwa bure ikiwemo, saratani ya mlango wakizazi, homa ya ini na VVU, uchunguzi wa afya ya kinywa na meno, kisukari, shiniko la damu, elimu ya ustawi wa jamii, uchangiaji wa damu, elimu ya magonjwa yasiyoambukiza na ya mlipuko

Aidha, katika maadhimisho ya siku hiyo muhimu wananchi wengi wamejitokeza na mmoja wa  wananchi hao Bi.Aisha Rajabu ameipongeza Idara ya afya kwa huduma nzuri zinazotolewa





Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MIRADI 7 YENYE THAMANI YA BILIONI 8.2 UBUNGO YAPITA KWA KISHINDO MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2025

    June 05, 2025
  • TUZINGATIE USAFI KUEPUKA MAGONJWA

    May 31, 2025
  • BODI YA AFYA UBUNGO YAPONGEZA WATAALAM WA AFYA NA KUTOA MAAGIZO YAKUBORESHA NYANJA MBALIMBALI

    May 29, 2025
  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNATANGAZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA WANANCHI

    May 24, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa