• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

RC MAKALLA AKAGUA KIWANDA CHA CHIBUKU KILICHOSIMAMA UZALISHAJI TOKA MWAKA 2018

Posted on: February 13th, 2023

Mapema leo Februari 13, 2023 mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Amos Makalla amefanya ziara ya kukagua eneo lililokua kiwanda cha Chibuku kilichopo Ubungo ambacho kilikuwa kinazalisha kinywaji aina ya Chibuku. 

RC Makalla amefanya ziara hiyo baada ya kiwanda hicho kusimama uzalishaji wake tangu mwaka 2018 ambapo kilikua kinamilikiwa na kampuni ya TBL kwa kushirikiana na Manispaa ya Temeke, Ilala na Kinondoni 

Ikumbukwe kuwa mwaka 2016 wakati wa kuundwa wilaya mpya ya Ubungo, kwenye mgawanyo wa Mali na madeni, umiliki wa kiwanda hicho ulitakiwa kuhamia Wilaya ya Ubungo lakini mpaka sasa bado hilo halijafanyika na badala yake umiliki wa kiwanda kwenye nyaraka za serikali bado unaonesha kinamilikiwa na Manispaa ya Temeke, Kinondoni na Ilala 

Aidha Mhe. Makalla amesema kuwa kusimama kwa kiwanda hicho kunaikosesha serikali mapato, ajira kwa vijana pamoja na kupunguza soko la Mahindi ambayo ndo malighafi kuu ya kutengenezea kinywaji hicho 

"Kiwanda hiki kimesimama kwa muda mrefu sasa na wawekezaji wapo tayari kukifufua kiwanda hiki ili kianze kufanya kazi na kuipa maslahi makubwa serikali. Ni lazima wabia wote tukutane kuanzia kampuni ya TBL, na Manispaa zote za jiji la Dar es Salaam ili kujadili umiliki wa kiwanda hiki pamoja na mikakati ya kukifufua kwa kushirikiana na wawekezaji ambao wapo tayari kuwekeza" Alisema Makalla 

RC MAKALLA  akikagua maeneo mbalimbali  ya eneo la kiwanda cha chibuku


Kikao cha kuwakutanisha wabia kitafanyika kesho Februari 14, 2023 katika ukumbi wa DMDP ambapo mustakabali wa Kiwanda hicho utafikiwa na tayari kuanza mikakati ya kukifua na kazi














ReplyForward






Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa