• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

SERIKALI YATATUA MGOGORO SUGU WA ARDHI ENEO LA GOBA KISAUKE

Posted on: July 19th, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo  Mheshimiwa Kheri James ametolea maamuzi mgogoro wa  ardhi wa eneo la Goba –Kisauke  katika mtaa wa Tegeta A uliodumu kwa muda wa miaka   mitano na kuelekeza kuwa eneo hilo libaki kuwa  mali ya Mtaa (kijiji).

Akuzungumza na wananchi wa  Mtaa huo  wakati wa mkutano wa hadhara wa kutole maamuzi mgogoro huo  leo julai 19, 2021, alisema maamuzi  hayo yametolewa na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi baada ya kufanya uchunguzi wa madai yaliyowasilishwa na familia Tabia Mziwanda na Roman Mosha.

Alisema Tume ya uchunguzi iliyoundwa na serikali kuchunguza mgogoro huo ilibaini kuwa familia ya Tabia  Mziwanda  ambayo ilikuwa ikidai kuwa eneo hilo ni mali yao haikuwa nyaraka zozote zinazo halalisha umiliki wa eneo hilo.

Aliongeza kuwa Tume ilibaini   Bwana Roman Mosha aliuziwa eneo lenye ukubwa ekari nne na  kamati ya kijiji kwa kipindi hicho  kinyume na taratibu za kuuza ardhi ya vijiji inayotaka uuzwaji wa ardhi uridhiwe kwenye Mkutano Mkuu wa Kijiji na si kamati.

‘’Bwana Mosha alileta mkataba wa   mauziano ya ardhi baina yake na kijiji, ambayo inaonesha aliuziwa ekari nne, na katika kamati hiyo mmoja wao ni Mzee mziwanda ambae familia yake inadai kuwa eneo hilo ni mali yao,  serikali imejiridhisha na ushahidi wote uliotolewa na kamati ya uchunguzi kuwa hakuwahi kuwa mmliki wa eneo hilo’’alisema.

Kheri alisema kuwa baada ya Serikali kushirikiki kamilifu katika kuchunguza mgogoro huo na kusikiliza pande zote mbili kihistoria, kimazingira, kinyaraka, viongozi wa Mtaa, na wazee wa Mtaa huo serikali imetoa maamuzi kuwa eneo hilo litabaki kuwa mali ya kijiji (mtaa),na kusimamiwa na Halmashauri ya Manispaa ya ubungo kama sheria ya ardhi inavyoelekeza.

Aliwataka viongozi wa Mitaa kuacha kuuza ardhi kiholela na badala yake  kufuata  taratibu   za kuuza ardhi katika maeneo yao ili kuepusha  migogoro  mbalimbali ya ardhi inayojitiokeza   na kuathiri shughuli mbalimbali za maendeleo.

’’Hakikisheni mnalilinda eneo hili,  mtakapotaka kufanya matumizi mfuate taratibu,  babu zetu walitenga maeneo haya kwaajili ya  kupanua maendeleo  ya mitaa  kama vile kujenga shule, Vituo vya afya, na miradi mingine ya maendeleo hivyo yalindeni  maeneo haya’’  alisema.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Manispaa hiyo Beatrice Dominic ameishuruku Serikali kwa kutoa maamuzi sahihi juu ya mgogoro huo  baada ya kufanya uchunguzi kwa pande zote.

’’Kiukweli sasa nitapumzika naishuruku serikali kutolea maamuzi mgogoro huu ambao ulitusumbua kwa muda mrefu na ulikuwa ukiniathiri mimi pamoja na familia yangu kwa mambo mbalimbali yaliyokuwa yakizungumzwa’’ alisema.

Mwenyekiti wa Baraza la Wazee kata ya Goba Yahaya Ndyema ameishukuru Serikali kutoa uamizi wa kurudisha eneo hilo kwa mtaa (kijiji )kwani tangu awali eneo hilo lilikuwa likimilikiwa na  serikali na si watu binafsi wanaoligombania.

“Sisi ndio wazee wa mtaa huu tunajua kuwa eneo hili lilikuwa eneo la kijiji, hawa wote wanaogomabnia wote ni wavamizi tu” alisema mzee Ndyema.

 

 

 

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa