• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

TIMU YA WATAALAM UBUNGO WATEMBELEA MRADI WA SHULE YA MKOA

Posted on: July 8th, 2022


Timu ya Wataalamu ya Manispaa ya Ubungo (CMT) ikiongozwa na Mkurugenzi wa Manispaa hiyo  imetembelea na kuona  utekelezaji wa Mradi wa ujenzi wa Shule ya Sekondari ya wasichana ya Mkoa wa Dar es salaam inayojengwa Kata ya Kwembe Wilaya ya Ubungo ambapo kwa sasa mradi upo hatua ya boma.

Mradi huo ni miongoni mwa miradi ya uboreshaji elimu ya sekondari (SEQUIP) ambapo kwa awamu ya kwanza Manispaa hiyo imepokea Bilioni 3 Kati ya Bilioni 4 kutoka Serikali kuu, ambazo zimepangwa kutumika kwa ajili ya kutekeleza Mradi huo ambao unatekelezwa na wakandarasi wawili ambao ni Bandiko Construction Limited na Valosu Construction Limited.

Mradi huo  kwa awamu ya kwanza unajumuisha  ujenzi wa vyumba vya Madarasa 12 pamoja na Vyoo vitatu, Ofisi 3, Maabara 4, Bwalo, Mabweni matano, Jengo la Utawala, Nyumba tatu za walimu, Matanki ya maji, kichomeo taka, mitaro ya maji, Uzio, Barabara za watembea kwa miguu na  vyoo matundu 16.
Akiongea baada ya ukaguzi wa mradi huo,  Mkurugenzi wa Manispaa hiyo Ndugu Beatrice Dominic amemtaka Kaimu Mhandisi wa Manispaa hiyo kutoa taarifa ya utekelezaji wa mradi huo ikihusisha changamoto na  ongezeko la gharama kwenye Mradi (valuetion) na namna ya kutatua changamoto hizo ili mradi ukamilike kwa wakati

Sambamba na hayo Beatrice ameitaka Idara ya manunuzi na Kitengo cha Mhandisi kuhakikisha kuwa wanawajibika ipaswavyo katika kutekeleza majukum yao ili kuepukana na changamoto mbalimbali wakati wa utekelezaji wa miradi mbalimbali.

Mmoja wa Wakandarasi wanaojenga mradi huo kutoka Kampuni ya Bandiko Construction Limited amesema wao kama wakandarasi wa Mradi huo wapo tayari kushirikiana na Manispaa katika kuhakikisha Mradi huo unakamilika kwa viwango na muda uliokusudiwa.

@ortamisemi

#UbungoYetuFahariYetu

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa