• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

UBUNGO IKO VIZURI, ZIARA YA MHE. WILIAM LUKUVI

Posted on: September 18th, 2024

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge, Sera na Uratibu) Mheshimiwa Wiliam Lukuvi amefanya ziara Wilaya ya Ubungo na kutembelea tanki la maji Mshikamano lililopo kata ya Mbezi na kuipongeza Ubungo kwa kufanikisha ujenzi wa tanki hilo ambalo linasambaza maji kwa watu wasiopungua laki mbili na limejengwa kwa gharama ya shilingi bilioni 4.8

Mheshimiwa Lukuvi amefanya ziara hiyo  tarehe 18/9/2024  na kusema kuwa Ubungo imekuwa ni wilaya ambayo imekuwa kwa kasi na Serikali imeendelea kuleta fedha ambazo zimetumika kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora na kupitia mradi wa tanki  hilo lilipo  kata ya mbezi imesaidia kutatua changamoto ya maji kwa watu wengi  na kwa asilimia  kubwa huduma ya maji inapatikana

Na katika upande wa afya Mhe. Lukuvi amepongeza Ubungo kwa kufanikiwa kwa kiasi kikubwa ambapo mpaka sasa ubungo ina asilimia 100 katika ujenzi wa miradi ya afya na imekamilika na wananchi wananufaika na huduma za afya katika vituo 

Akiendelea na ziara hiyo Mhe. Lukuvi  ametembelea mradi wa kituo cha afya kimara ambapo ujenzi wake  umekamilika na kituo hicho ambacho kwa sasa wananchi wa kimara na maeneo ya jirani wanapata huduma.


Aliendelea kwa kusema kuwa, kituo hicho kimekamilika kwa fedha za serikali na wadau ambao ni kanisa la watakatifu wa siku za mwisho waliochangia kiasi cha shilingi milioni 418 zilizotumika kumalizia ujenzi  wa awamu ya pili ikiwa ni ujenzi wa gorofa ya pili na mpaka sasa  wananchi wanapata huduma katika kituo hicho

Nae Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Hassan Bomboko amemshukuru waziri Lukuvi kwa ujio wake na kusema kuwa Ubungo inaendelea kujivunia uongozi wa Rais wa awamu ya sita ambapo kwa kipindi cha miaka mitatu mfululizo jumla ya bilioni 11 zimeshafika ubungo kwa ajili ya  utekelezaji wa miundombinu ya miradi ya afya, vifaa tiba

Na katika upande wa elimu jumla ya bilioni 19 zimeletwa ambazo zimeenda kuleta maendeleo katika upande wa elimu msingi na sekondari katika kuboresha utoaji wa elimu





Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • FANYENI KAZI, MSIJALI MASILAHI BINAFSI" ~ CHALAMILA

    May 01, 2025
  • HUDUMA YA KUJIFUNGUA KWA UPASUAJI YAANZA RASMI KITUO CHA AFYA GOBA,WANANCHI WAKARIBISHWA

    April 30, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa