• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

UBUNGO KUJA NA VITAMBULISHO VYA WAFANYABIASHARA WADOGO VILIVYOBORESHWA

Posted on: March 7th, 2024

Manispaa ya Ubungo kupitia Idara ya Maendeleo ya Jamii imefanya kikao na viongozi wa wafanyabiashara ndogondogo wa Manispaa hiyo kilicholenga kuelezea mpango wa utoaji wa vitambulisho vilivyoboreshwa vya wafanyabiashara hao.

Akiongea Stella Juma Ngazija Mratibu wa wafanyabiashara ndogondogo amesema Serikali imeandaa mfumo wa utoaji vitambulisho kwa wafanyabiashara wadogo ambao ni machinga, madereva wa pikipiki na bajaji na mama na baba lishe unaopatikana kupitia anuani ya wbn.jamii.go.tz.

Stella ameendelea kueleza kuwa baada ya Serikali kuweka mazingira mazuri ya maeneo ya wafanyabiashara wadogo sasa imeweka mpango wa kutoa vitambulisho hivyo ambapo kila mfanyabiashara mdogo aliyethibitishwa atalipia kiasi cha Shilingi 20,000/= na kila baada ya miaka mitatu atahuisha kwa kiasi cha Shilingi 5,000/=

Aidha, Stella ameeleza kuwa kutolewa kwa vitambulisho hivi hakutaondoa ulipaji wa ada na tozo mbalimbali za kisheria zinazotozwa na TRA au Mamlaka za Serikali za Mitaa katika maeneo wanayofanyia biashara, pande zote mbili watakubaliana aina ya tozo, kiasi na jinsi ya kulipa ili kuwa na makubaliano ya pamoja.

Akielezea faida za vitambulisho hivyo Stella amesema kutambulika na mamlaka mbalimbali ikiwa ni pamoja na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Jeshi la Polisi, Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri husika na Taasisi za Kifedha, kutambuliwa na kupata mikopo kutoka katika taasisi mbalimbali za kifedha hapa nchini, kukamilisha miamala mbalimbali ya malipo kwa njia ya kidijitali.

Faida zingine ni pamoja na kupewa kipaumbele cha kupata maeneo bora ya kufanyia biashara katika miundombinu ya masoko itakayokuwa imejengwa katika maeneo yao, kulipia huduma mbalimbali katika vituo vya kutolea huduma Nchini kama vile huduma za afya, bima mbalimbali, viwanja vya michezo, kuunganishwa na mifuko ya hifadhi ya jamii na kitasaidia kujua idadi ya wafanyabiashara ndogondogo katika maeneo husika ili kuendelea kutenga na kuendeleza/kuboresha miundombinu rafiki kwa ajili yao.

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNATANGAZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA WANANCHI

    May 24, 2025
  • CRDB WAMKARIBISHA DC MSANDO KWA KUTOA MADAWATI 30 NA VIFAA VYA MICHEZO

    May 22, 2025
  • MAFUNZO KWA WATENDAJI NGAZI YA KATA KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI.

    May 14, 2025
  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa