• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Malengo na dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Sekondari
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Vitengo
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Sheria ndogo ndogo za Manispaa
      • Other Laws
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Masoko
    • Vituo vya Basi
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
      • iCHF
      • Lishe
      • Social welfare
    • Elimu
      • Pre and Primary Education
      • Elimu Sekondari
    • Biashara
      • Ushuru wa Huduma
      • Usajili wa Tax
      • Leseni za Biashara
      • Ushuru wa Hoteli
    • Ujasiliamali
      • Ten Percent Loans
    • Kilimo
    • Uvuvi
    • Ufugaji
      • UJUWA
  • Madiwani
    • Orodha za Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao vya kisheria
    • Ratiba ya Kumuona Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi endelevu
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Ripoti
    • Sheria
    • Bronchures
    • Zabuni iliyotangazwa
    • Mpango Mkakati
    • Newsletter
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba

UBUNGO MANISPAA YAFANYA USAFI KUMUENZI BABA WA TAIFA

Posted on: October 14th, 2023

Katika kumuenzi Hayati baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere  tarehe 14/10/2023 Manispaa ya Ubungo imefanya usafi katika soko la SIMU 2000 lililopo Kata ya Sinza.

Katika usafi huo wananchi, viongozi, wajasiriamali wa soko hilo na wadau mbalimbali wa mazingira walijitokeza na kushiriki usafi huo akiwemo HUDEFO na Vijana Fikiri Kidigitali.

Akiongea katika usafi huo Mkuu wa Kitengo cha mazingira na usafishaji wa Manispaa hiyo Ndg Lawi Bernard ameeleza kuwa ajenda ya usafi ni suala mtambuka ambapo kila mtu anawajibu wa kufanya katika kuhakikisha mazingira yanayomzunguka yanakuwa safi muda wote na hivyo kuzuia athari zinazoweza sababishwa na uchafu na kuharibu muonekano mzuri wa maeneo yetu.

Lawi ameendelea kueleza kuwa uwepo wa kampeni ya Kataa uchafu safisha pendezesha Ubungo inamlazimu kila mjasiriamali kuhakikisha anatunza mazingira sokoni hapo kwani katika kampeni hiyo masoko pia yatashindanishwa kwenye suala la usafi.

“Leo katika kumuenzi Hayati Baba wa Taifa mbali na uwepo wa masoko yote ndani ya Manispaa ya Ubungo tumeona kuja hapa soko la SIMU 2000 kushirikiana nanyi wajasiriamali katika kufanya usafi sokoni hapa naomba hii iwe desturi yenu endelevu kwani uwepo wa mazingira safi ya soko yatawezesha kuongeza thamani ya bidhaa zenu na hivyo kuvutia wateja na hatimae kuwa wawezesha kuwa washindi katika kampeni hii ya usafi” alisisitiza Lawi.

Nae, Meneja wa soko hilo Geofrey Mbwama ametoa kwa wajasiriamali hao kuhakikisha wanawajibika kwenye utunzaji wa mazingira ya soko hilo na atakae kiuka kwa kuchafua mazingira hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yake ikiwemo na kulipa faini isiyopungua elfu hamsini.

Kwa upande wake mwenyekiti wa kitengo cha matunda sokoni hapo Deo Brashi amewashukuru wadau wote kwa kushiriki zoezi la usafi sokoni hapo na kuahidi kuhakikisha kuwa wajasiriamali wote wa soko hilo wanashiriki kikamirifu katika utunzaji wa mazingira ya soko hilo.


Wananchi wakifanya usafi katika siku ya maadhimisho ya kumbukizi ya baba wa taifa Mwl.julius kamabarage nyerere

Taarifa

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNATANGAZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA WANANCHI

    May 24, 2025
  • CRDB WAMKARIBISHA DC MSANDO KWA KUTOA MADAWATI 30 NA VIFAA VYA MICHEZO

    May 22, 2025
  • MAFUNZO KWA WATENDAJI NGAZI YA KATA KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI.

    May 14, 2025
  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • Tazama zote

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Viunganishi vya haraka

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Viunganishi linganifu

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya wanaoingia

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Sanduku la Posta: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: md@ubungomc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa